Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya familia Ya Kaizer!

hongera mkuu kaizer.
mungu yu mwema kila siku,tunamsifu na kumshukuru kwa kuwabariki kwa zawadi hiyo.
Mungu awakuzie.
 
dah! hongera jibaba, asavali tumepata reserve wa taifa stars manaake ngassa ameanza kuchoka bana.

dah,,,mkuu kloro si umesikia vijana wamelala 2-1...kwetu tungekuwa na asili ya mpira huo hapo sawa tumezoea chandimu
hongera mkuu kaizer.
mungu yu mwema kila siku,tunamsifu na kumshukuru kwa kuwabariki kwa zawadi hiyo.
Mungu awakuzie.

asante sweetheart. Mungu ni mwema
 
Ni hivi, si kwamba nimechelewa kuchangia hili sredi.....ukweli ni kuwa nilikuwa kwenye mchakato wa kumtoa mama na kachanga ketu hospitali.............kwa wale ambao hawajui, Kaizer si homeboy wangu tu, bali pia mi ni bestman kwenye ndoa yake.

Kwa vijana ambao hawajaoa, kama unataka toto za kiume, omba babu akusimamie harusi yako....uzuri ni kuwa hii ofa hailipiwi.

Hommie Kaizer hebu twende tukawahi makongoro tumchemshie mama.

Hongera kwa mara ya tatu!
 
dah! hongera jibaba, asavali tumepata reserve wa taifa stars manaake ngassa ameanza kuchoka bana.

Fellow tablet.....hebu njoo huku Martenity ward ushuhudie mwenyewe....

Hii njemba iliyozaliwa si mcheza mpira......Ni Tyson mpya!
 
Hongera kwa mara ya tano msasha, nilikuwa naandaa mtori na kitawa jamani.
Ndo naenda kutafuta kisusio hapo Mamsera....................ha ha ha. Hongera sana kaka Kaizer.
 
hongereni sana,Mungu awalinde na kuwatunza,awaepushe na hila zote za muovu shetani na wabaya wote chini ya jua.
 
Pole mama, hongereni wote baba, mama , mtoto na familia yote. Mungu amlinde mtoto wetu kama alivyomlinda Yusufu utumwani misri.
 
Attachments

  • congratulations-new-mom-baby-boy-1.1-800x800.jpg
    congratulations-new-mom-baby-boy-1.1-800x800.jpg
    11.3 KB · Views: 23
Ni hivi, si kwamba nimechelewa kuchangia hili sredi.....ukweli ni kuwa nilikuwa kwenye mchakato wa kumtoa mama na kachanga ketu hospitali.............kwa wale ambao hawajui, Kaizer si homeboy wangu tu, bali pia mi ni bestman kwenye ndoa yake.

Kwa vijana ambao hawajaoa, kama unataka toto za kiume, omba babu akusimamie harusi yako....uzuri ni kuwa hii ofa hailipiwi.

Hommie Kaizer hebu twende tukawahi makongoro tumchemshie mama.

Hongera kwa mara ya tatu!

hommie ntakushtaki kwa mod kwa kujipigia debe kwen hili sredi....
 
Pole mama, hongereni wote baba, mama , mtoto na familia yote. Mungu amlinde mtoto wetu kama alivyomlinda Yusufu utumwani misri.

thanks chetuntu kwa maombi..we have some unfinished bizness
 
hongereni sana,Mungu awalinde na kuwatunza,awaepushe na hila zote za muovu shetani na wabaya wote chini ya jua.

asante Pearl, tupo pamoja, njoo tusherehekee pamoja....
 
Hongera kwa mara ya tano msasha, nilikuwa naandaa mtori na kitawa jamani.
Ndo naenda kutafuta kisusio hapo Mamsera....................ha ha ha. Hongera sana kaka Kaizer.

asante kwa mara ya kumi...naona na mi nafaidi mtorri na kitawa kama kawaida....
 
Ndugu wangu wa ukwelil,nipo huku usalule natafuta majogoo kwa ajili ya supu ya mama! Hongera sana home boy kwa kutuletea dr. Wa Ukweli!
 
hommie ntakushtaki kwa mod kwa kujipigia debe kwen hili sredi....

Hommie tafazali.....hebu nisomee hapa chini kwa hisani ya baby boy wetu

Kama hukutakata MTONI usitegemee kutakata BAFUNI..........TONGE halichagui MBOGA....Nyani HASUSIWI shamba..
 
Back
Top Bottom