klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
dah! hongera jibaba, asavali tumepata reserve wa taifa stars manaake ngassa ameanza kuchoka bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah! hongera jibaba, asavali tumepata reserve wa taifa stars manaake ngassa ameanza kuchoka bana.
hongera mkuu kaizer.
mungu yu mwema kila siku,tunamsifu na kumshukuru kwa kuwabariki kwa zawadi hiyo.
Mungu awakuzie.
dah! hongera jibaba, asavali tumepata reserve wa taifa stars manaake ngassa ameanza kuchoka bana.
asante ,,, salamu zimefika kanasema kanataka kukuona?
Ni hivi, si kwamba nimechelewa kuchangia hili sredi.....ukweli ni kuwa nilikuwa kwenye mchakato wa kumtoa mama na kachanga ketu hospitali.............kwa wale ambao hawajui, Kaizer si homeboy wangu tu, bali pia mi ni bestman kwenye ndoa yake.
Kwa vijana ambao hawajaoa, kama unataka toto za kiume, omba babu akusimamie harusi yako....uzuri ni kuwa hii ofa hailipiwi.
Hommie Kaizer hebu twende tukawahi makongoro tumchemshie mama.
Hongera kwa mara ya tatu!
Pole mama, hongereni wote baba, mama , mtoto na familia yote. Mungu amlinde mtoto wetu kama alivyomlinda Yusufu utumwani misri.
Hongera kaka yangu!hommie ntakushtaki kwa mod kwa kujipigia debe kwen hili sredi....
hongereni sana,Mungu awalinde na kuwatunza,awaepushe na hila zote za muovu shetani na wabaya wote chini ya jua.
Hongera kwa mara ya tano msasha, nilikuwa naandaa mtori na kitawa jamani.
Ndo naenda kutafuta kisusio hapo Mamsera....................ha ha ha. Hongera sana kaka Kaizer.
mwambie nitakuja kukachukua wk end nishinde nacho mpwapwa.
Hongera kaka yangu!
Congratulations for the newly baby!
tayarisha tu S26 maana kataililia tu...lol
hommie ntakushtaki kwa mod kwa kujipigia debe kwen hili sredi....