Ndiye yule ajayeMhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati huna muda mrefu tangu uteuliwe na Mhe. Rais kuwa Waziri wa Nishati. Tunaona mambo mazuri yanakuja mbeleni. Niko hapa Mwanza tulikuwa tunakatiwa umeme tangu saa moja asubuhi mpaka saa moja jioni au tangu saa moja jioni mpaka saa nane usiku lakini leo ni siku ya tatu umeme haujazimwa katika eneo langu. Ahsante sana Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Lisemwalo lipo na yaliyokuwa yanasemwa kuhusu mtangulizi wako yawezekana ni ya kweli. Jitahidi ili suala la ukosefu wa umeme uwe wa historia.
Ajaye ndo nn!!Ndiye yule ajaye
Mfuatiliye Pascal Mayalla kwenye nyuzi zakeAjaye ndo nn!!
Acha watu watimize WAJIBU wao, KITI chenyewe kimoja kila muda ajaye ajaye!!
Yule ameshamtabiria karibia Kila mtu, kipara amemwita presidential material, mwigu ndo usiseme, Tulii pia, Mwinyi mpango nk nk.Mfuatiliye Pascal Mayalla kwenye nyuzi zake
Alimtabiria hata Mtume Paulo aliyekonda aliyekuwa mfalme wa bandari salamaYule ameshamtabiria karibia Kila mtu, kipara amemwita presidential material, mwigu ndo usiseme, Tulii pia, Mwinyi mpango nk nk.
So kwann tupoteze muda?
Hiyo Inaitwa try and error, ni ubashiri Si utabiri.Alimtabiria hata Mtume Paulo aliyekonda aliyekuwa mfalme wa bandari salama