Next in Line
Member
- May 16, 2023
- 31
- 33
Sidaiwi!!!! Hata hivyo wewe unatoa kauli hii ya kimamlaka kama nani?Haiwezekani,lipa hela ya serikali
Kama afisa ardhi mwandamizi🙏Sidaiwi!!!! Hata hivyo wewe unatoa kauli hii ya kimamlaka kama nani?
Serikali haina hela mifukoni mwangu na wala serikali haiiboreshi ardhi ninayoitumia hata kwa kuweka virutubisho tu, ni dhuruma tu.Haiwezekani,lipa hela ya serikali
Kama afisa ardhi mwandami
Soma heading ya uzi wangu. Nimejielekeza kwa Waziri wa Ardhi si Kwa Afisa Ardhi mwandamizi.Kama afisa ardhi mwandamizi🙏
Sisi ndio tunamshauri huyo waziri,sisi ndio wataalamu ,yeye mwanasiasa tu,ndomana aweza tumbuliwa muda wowote,Jerry siyo mtaalamu wa Ardhi,juzi tu hapa alikuwepo mabula,leo Yuko wapi?Soma heading ya uzi wangu. Nimejielekeza kwa Waziri wa Ardhi si Kwa Afisa Ardhi mwandamizi.