Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipasho na PhD za unafiki mzee baba. Yakianzishwa mashindano ya mipasho na unafiki duniani nakuhakikishia Tanzania watachukua medali zote za gold maana wanasiasa wetu hamna wa kuwashinda duniani kwa hayo mambo 2Tunakwama wapi?
Thamani ya gold medal ni kubwa, hivyo 8 medals ni kubwa kuliko hiyo 9Naona Jamaica na China wote wana 9 na hiyo Kenya yako ina 8 kelele za nini Ku praise kenya
Angalia dhahabu mkuu zingine mbwembwe tu ndo maana kenya yupo nmb 2Naona Jamaica na China wote wana 9 na hiyo Kenya yako ina 8 kelele za nini Ku praise kenya