Tunakwama wapi? huko Doha Qatari Kenya inapambana na USA kwenye Medali

Tunakwama wapi? huko Doha Qatari Kenya inapambana na USA kwenye Medali

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Hii imeniuma sana, sijui tunakwama wapi, ni kipi tunacho weza fanya kwa ufasaha?

Kenya ni wa pili kwa Medali za Dhahabu nyuma ya USA. Fikiria
FB_IMG_1570304643788.jpeg
 
Tunakwama wapi?
Mipasho na PhD za unafiki mzee baba. Yakianzishwa mashindano ya mipasho na unafiki duniani nakuhakikishia Tanzania watachukua medali zote za gold maana wanasiasa wetu hamna wa kuwashinda duniani kwa hayo mambo 2
 
Naona Jamaica na China wote wana 9 na hiyo Kenya yako ina 8 kelele za nini Ku praise kenya
 
Sisi mambo ujingaujinga tuna shabikia

Ova
 
kwani hakunaga mashindano ya ubishi tanzania tutashinda maana wengi wanajua kubishana
 
Hivi kwani mashindano yameisha? si ndio wapo wanakimbia muda huu?
 
Kwa sasa Tz haiwezi kufanikiwa katika lolote. Tatizo kubwa ni ubaguzi wa imani za kisiasa.

Nina hakika kwenye haya mashindano, hata kama mchezaji atakuwa mzuri namna gani lakini ikafahamika kuwa ni mwanachama au shabiki ya chama cha upinzani, watamwondoa.

Mfano mzuri ni Timu ya Taifa ya soka ambapo Makonda alithubutu hata kutamka kuwa ipo kwaajili ya kutekekeza sera za CCM. Kumbuka kichapo tulichokipata.

Hata kwenye teuzi mbalimbali za kazi za kitaalam, unatazamwa uanachama au ukada. Wakati ukweli unajulikana kuwa watu wengi walio na uwezo, akili kubwa na upeo mkubwa hawapo CCM au siyo mashabiki wa CCM (ripoti ya TWAWEZA - CCM inapendwa zaidi na watu wajinga na baadhi ya wazee).
 
Kenya michezo yao ni mbio ndefu pekee ndio hushinda. Tanzania haiwezi mbio zozote. Marekani siku zote huongoza
 
Hawa wakalee n hatar bwana kwa mbio
Hawajambo
 
Gidabuday anajitetea kwa kisingizio cha joto kali hapo Doha...anasahau kuwa hata wenzetu wakenya wanakanyaga ardhi hiyohiyo. Mtanzania hakosi visingizio.
 
Back
Top Bottom