Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

Gachuma hakuwahi kuwa na tuhuma zozote wakati wa awamu ya 5 na ndio maana ni kati ya Wadhamini wa CCM.
Tangu uzi umeanzishwa nilijua Gachuma kafananishwa na yule mwamba aliyewakomalia wale "mazuzu" waliotumwa kumsumbua jamaa kule Mara halafu akawatolea bastola kwenye kituo cha mafuta.
 
Anamfananisha na yule mtu wa Mara aliempiga risasi mtu asiejulikana
 
Mwalifu! Mhalifu ingependeza zaidi.
CCM mnaiona elimu yetu ilipofikia!
 
Kwani wewe una hakika gani kama kweli alikuwa mhalifu? Na kama mhalifu unadhani kwanini alitoka? Awamu ya tano iliwavika watu uhujumu, unyang'anyi pamoja na utakatishaji fedha tena wengi wao pasipo hatia.
 

 
Wanamchanganya na zakaria
 
Hawamu ya tano tuiondoe kwenye suala la haki na uonevu, unawaona kina sabaya, na lugemalila na wengine wengi, tuanze tu upya tuseme hawamu ya nne tuendelee ya sita, ingawa yasita tatizo kesi ya Mbowe!
 
Mkuu nadhani unapotosha kwa makusudi au unamchanganya Mzee Gachuma na mtu mwingine.
huyu mzee ni Mjumbe Halmashauri kuu CCM Taifa na ni mmoja ya wajumbe wa baraza la wadhamini wa CCM lililoundwa na hayati.
hajawahi kufungwa awamu ya 5
Wanamchanganya na zakaria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…