Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.

Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.

Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?

Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Kwa hiyo uliziamini zile tuhuma za wakati wa "ze king of ze Munda" shujaa mtoro wa maisha aka mwendazake?😝😝😝😝😝
 
Mnafikiri wale wanaojilipua kule Somalia na Afghanstan wanapenda , kuna mambo ya hovyo kama haya ya Tanzania huwa yanachangia watu wajitoe muhanga. Ni vile tu watz wamezoea kupelekwa pelekwa na uvumilivu wao wa kiboya boya.
Umekunywa Chai au una stress
 
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.

Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.

Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?

Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Tanzania yetu inakwenda kwa beat za CCM - beats za CCM zimegawanyika kwenye awamu ya miaka mitano mitano = Kwa sasa beats zimebadilika hivyo sytel ya kucheza nayo pia imebadilika mjomba.
 
sasa mnataka Bodi ya wakurugenzi wa Tanesco tuweke watoto wa shule, au graduates ambao hawana exposure yeyote au walimu wa UDSM? Hizi bodi za mashirika makubwa zinahitaji wasomi wenye exposure yakuendesha mashirika tofautitofauti kwa mafanikio au wafanyabiasahra wakubwa wenye uzeofu na big business....

Nafasi za kupugua kelele kwa mwezangu na mimi wa huku Tandika zipo lakini sio hizi..
kwani huyo gachuma exposure aliipatia mbinguni au yeye alisomea wapi ambako wengine hawakusomea.wapewe fursa wengine nao tuwapime si kulindika watu wale wale miaka nenda miaka rudi.kuna vijana wengi tu na wazuri wapewe nao ili nao wawe na hiyo exposure haya mambo ya kupeana peana yanaudhi pia yanademoralize watu.Ndo maana makongoro alimchana fulani kuwa enzi ya nyerere yupo,mwinyi,yupo,mkapa yupo haya mambo yanawakera sana vijana ambao ni nguvu kubwa kwa nchi hii.
 
Mawazo yako yapo kinyume na dhamira yako....Ukiipenda nchi yako, utawapenda na viongozi wako
Kusema kweli viongozi wa hovyo wa nchi hii SIWAPENDI, na sitakuja KUWAPENDA. Na ikitokea nafasi ya kuwashikisha adabu nitashiriki kikamilifu.
 
Wewe ni masikini wa kipato na akili pia!

Hao unaowatetea wana mabilioni somewhere ambayo walikupora wewe tangu enzi hizo!

Magufuli na familia yake hakuna hata mmoja atakae u ia kwa ufisadi wa hao unaowatetea hapa. Atakaeumia na bibi na babu zako kule kijijini kwenu.
Magufuli alikua FISADI PAPA,
CCM = Chama Cha MAFISADI PAPA .
MaCCM yote ni MIJIZI na huyo Magufuli wako.. umesahau msemo mshahara wa Dhambi ni MAUTI.
Dhambi ya UFISADI imeondoka na malaika wenu MIJIZI.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini haijaondoka na ccm kabisa ili machadema mtawale nchi?

Mabavicha kumbe bado hamjachukua akili zenu kwa Lisu tu
 
Mnawaza kutawala tu, pumbavu kabisa kabisa..
 
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.

Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.

Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?

Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Not guilt until proved so... Serikali ya "mad man" inaweza kumtuhumu yeyote kwakesi za kubandika! Mbona juzi tuu tumesikia ya Rugemalila! au ulikuwa ng'ambo shehe?
 
Sasa kumbe nyie mabavicha mnawaza kupinga tu?
MaCCM mmeharibikiwa na Dhana za kikoroni huitaji kutawaliwa ndani ya nchi huru.. CHADEMA itaongoza nchi na watu wake , Kwa fuata demekrasia kwa mujibu wa katiba na sheria . Pole sana mtawaliwa..
 
Acha kujifariji kwa kurembe remba maneno bavicha!

Ccm ndio chama tawala, hata mr belgiji na chadema wangeshinda leo tungeita chadema ni chama tawala.

Usijifanye BAKITA hapa
 
unashangaa mteuliwa akati hata makamba mwenyewe alikua na kashfa za kutosha lakini kateuliwa
 
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.

Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.

Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?

Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Gachuma hakuwahi kuwa na tuhuma zozote wakati wa awamu ya 5 na ndio maana ni kati ya Wadhamini wa CCM.
 
Back
Top Bottom