Tunalalmika njaa, ukame, ukosefu wa mvua ili hali Mkaa unapatikana wa kutosha, kuni zipo tele, Yadi zimejaa mbao za kila aina.

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
6,311
Reaction score
9,027
Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa.

Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu.

Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka mkono juu ya mshumaa unaowaka...unaweza ushindwe kuongea chochote maana huna uhakika kama ukimwambia atoe mkono juu ya huo mshumaa atakuelewa au ndio kabisa ataweka na uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…