Haitham Kim
R I P
- Feb 11, 2020
- 11
- 43
Tutakuenzi kwa mengi mazuri uliyotufanyia,
Tutadumisha umoja Upendo uliyo tuhusia,
Itakuja siku moja tena tutaonana tena,
Uliyoagizwa umefanya ulale mahala pema,
Hivi ndio kweli hatukuoni tena,
Itakuaje ile mitano tena,
Wasanii tulikupenda sana,
Wanakulilia wakina mama.
Itakuja siku moja tena tutaonana tena,[emoji848][emoji3064] Riep KimTutakuenzi kwa mengi mazuri uliyotufanyia,
Tutadumisha umoja Upendo uliyo tuhusia,
Itakuja siku moja tena tutaonana tena,
Uliyoagizwa umefanya ulale mahala pema,
Hivi ndio kweli hatukuoni tena,
Itakuaje ile mitano tena,
Wasanii tulikupenda sana,
Wanakulilia wakina mama.
Itakuja siku moja tena tutaonana tena,[emoji848][emoji3064] Riep Kim
Siku ya kiamaNjia ni moja, isipokuwa hapo kwenye kuonana tena ndio hakuna hajuaye...
kifo ni 🥴🥴🥴...Asseeerrr
Acha tukifo ni [emoji3061][emoji3061][emoji3061]...
"Unaweza kuajiri mtu aendeshe gari lako au kupata pesa kwa ajili yako, lakini huwezi kuajiri mtu wa kubeba ugonjwa na kufa kwa ajili yako.Vitu vilivyopotea vinaweza kupatikana. Lakini kuna jambo moja ambalo haliwezi kupatikana wakati limepotea, "maisha".
Tukiwa katika hatua yoyote ya maisha, baada ya muda tutakabiliana na siku ambayo pazia litafungwa mbele yetu. Penda familia yako, mwenzi wako na marafiki. Watendee mema,watunze."- Stev