Tunaliomba Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kifo cha Mtwenya Silas aliyepatikana akiwa amechinjwa Kahama na kuzikwa Oktoba 1, 2024

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.

Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas.

Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi wilayani kahama liharakishe uchunguzi kubaini chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas
 
Duh

Watu wanazidi kuwa makatili

Ova
 
Mtwenya kwa lugha za kibantu nadhani linamaanisha 'mshindi'!
Poleni kwa msiba huo mkubwa.
 
This is too much jamani, kila anaekutwa amekufa ni serikali?

Wale wa tanga nao ni serikali?

Kule handeni nako ni serikali?

Yule bodaboda aliyekutwa amekufa kwenye mtaro na pikipiki yake pembeni ni serikali?
 
Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.

Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas.

Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi wilayani kahama liharakishe uchunguzi kubaini chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas
Polisi hawa hawa au wengine mmh labda
 
National intelligence tiss wako wapi? Kuzuia matukio kama haya jamani
 
Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.

Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas.

Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi wilayani kahama liharakishe uchunguzi kubaini chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas
Mna mioyo migumu Sana, yaani mpaka leo bado mnaendelea kuwa na matumaini na hawa watu kwamba wanaweza wakafanya upelelezi wa matukio Kama haya na kisha wakatoa ripoti za kuaminika kuhusu upelelezi waliofanya???? Seriously??????
 
Back
Top Bottom