Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Vipi Mr Nigra Strata Tract Na kwenu yamefika?Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu...
Huyo aliyeripotiwa na mleta uzi hawezi kuwa mpinzaniAlikuwa ccm au upinzan?mana upelelezi wa police upo ki siasa zaidi
Mleta uzi ni mbogamboga ila haya mambo yafike mwisho sasaAlikuwa ccm au upinzan?mana upelelezi wa police upo ki siasa zaidi
Hawa ni watuhumiwa wakubwa wanatoa kafara za uchaguziMleta uzi ni mbogamboga ila haya mambo yafike mwisho sasa
Ni CCM wenzake wamemtoa kafaraAlikuwa ccm au upinzan?mana upelelezi wa police upo ki siasa zaidi
Kwa sababu wazanzibar wenzake wapo salamaPolen sana ndugu zangu alikuwa wa chama gani huyu marehem? Polen sana
Shida hata uchunguzi hakuna bibi kichwa sinia kashasema kifo ni kifo tu
Polisi hawa hawa au wengine mmh labdaNdugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.
Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas.
Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi wilayani kahama liharakishe uchunguzi kubaini chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas
Alikuwa ccm au upinzan?mana upelelezi wa police upo ki siasa zaidi
Mna mioyo migumu Sana, yaani mpaka leo bado mnaendelea kuwa na matumaini na hawa watu kwamba wanaweza wakafanya upelelezi wa matukio Kama haya na kisha wakatoa ripoti za kuaminika kuhusu upelelezi waliofanya???? Seriously??????Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.
Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas.
Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi wilayani kahama liharakishe uchunguzi kubaini chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas
Mleta uzi ni mbogamboga ila haya mambo yafike meishoAlikuwa ccm au upinzan?mana upelelezi wa police upo ki siasa zaidi
Mwisho wao hauko mbaliHawa ni watuhumiwa wakubwa wanatoa kafara za uchaguzi