Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hivi sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa.
Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn tukaendelea kuwa wamoja kama taifa.
Hivi sasa tunapeana tuhuma na majina ya ajabu ajabu mfano: magaidi, wahuni, viroboto, sukuma gang, n.k. Haya yote mwisho wake siyo mwema.
Viongozi simameni imara kurekebisha kasoro hizi. Msijione mko salama kwasababu tu ndiyo mmeshika makali. Siku zaja ambazo haziko mbali mtalia na kujuta kwanini hamkuyaweka mambo sawa.