Danganya wa huko kwenu. Wajuvi wa mambo tunajua kwamba chama kina watu wasiozidi 50 tu ambao ndiyo kauli na minyukwno yao inqbadili upepo wa siasa ndani ya chama. Wengine mnafuata midundo tu. Siku hao 50 wakiamua kugawana fito hakuna chama hapo.Usichokijua ni kwamba CCM ina wanachama zaidi ya milioni 15 na kila mwanachama analingana na mwingine kwenye ujenzi wa chama hivyo inapotokea mwanachama mmoja au wawili wameamua kuasi hiyo ni sehemu ndogo sana ya kuweza kuleta uharibifu wa kupelekea tishio kwa CCM
Kuna sukuma gang muasisi wake Yuko jehanamuCCM haijawahi kugawanyika, endeleeni na ramli zenu
huo ni mtazamo wako, tatizo kubwa wewe ni fukara tafuta hera hutaona mgawanyiko wowote.Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hv sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa.
Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn tukaendelea kuwa wamoja kama taifa.
Hivi sasa tunapeana tuhuma na majina ya ajabu ajabu mfano: magaidi, wahuni, viroboto, sukuma gang, n.k. Haya yote mwisho wake siyo mwema.
Viongozi simameni imara kurekebisha kasoro hizi. Msijione mko salama kwasabb tu ndiyo mmeshika makali. Siku zaja ambazo haziko mbali mtalia na kujuta kwann hamkuyaweka mambo sawa.
View attachment 2063945
Haitambuliki na wasukuma wa Mwanza na Geita, imekanwa tayariKuna sukuma gang muasisi wake Yuko jehanamu
Hawajui, Ndani ya wiki 1/2 zijazo Ndugai na Samia watagonga cheers na kusifianaCCM ni moja miaka yote. Haijawahi na haitowahi kugawanyika, hiki unachokiona ni ukomavu wa demokrasia unaooneshwa na chama hicho ambapo ktk vyama vingine hamna demokrasia hiyo. Kama kuhoji tu uhalali wa mwenyekiti wa chama fulani kubandua kipengele cha ukomo wa madaraka kihuni kumegharimu maisha ya aliehoji na wengine kufukuzwa chamani, je ukiingia deep kuhoji matumizi ya makato ya mishahara ya wabunge waliokatwa kwa muda wa miaka mi5, ruzuku za chama nk hali inaweza kuwaje kwa muhojaji?
Wakitoka CCM nchi apewe nani Mkuu? Mbowe na Mnyika?CCM ni hatari Kwa Taifa, ni muda sasa iondoke Kwa njia yeyote ile, iwe ya Amani au ya shari
Na wewe chama kinakutegemea katika ujenzi wake? Duh......[emoji2297][emoji2297]Usichokijua ni kwamba CCM ina wanachama zaidi ya milioni 15 na kila mwanachama analingana na mwingine kwenye ujenzi wa chama hivyo inapotokea mwanachama mmoja au wawili wameamua kuasi hiyo ni sehemu ndogo sana ya kuweza kuleta uharibifu wa kupelekea tishio kwa CCM
Watu 50 ni wengi sana.Danganya wa huko kwenu. Wajuvi wa mambo tunajua kwamba chama kina watu wasiozidi 50 tu ambao ndiyo kauli na minyukwno yao inqbadili upepo wa siasa ndani ya chama. Wengine mnafuata midundo tu. Siku hao 50 wakiamua kugawana fito hakuna chama hapo.
Hawajui, Ndani ya wiki 1/2 zijazo Ndugai na Samia watagonga cheers na kusifiana
Kwani yule muasisi na sukuma gang ndio waliofanya hii kitu yako itanuke?Kuna sukuma gang muasisi wake Yuko jehanamu
Mpasuko wa CCM udumu. Migogoro, chuki na uhasama vidumu ndani ya CCM.Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hivi sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa.
Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn tukaendelea kuwa wamoja kama taifa.
Hivi sasa tunapeana tuhuma na majina ya ajabu ajabu mfano: magaidi, wahuni, viroboto, sukuma gang, n.k. Haya yote mwisho wake siyo mwema.
Viongozi simameni imara kurekebisha kasoro hizi. Msijione mko salama kwasababu tu ndiyo mmeshika makali. Siku zaja ambazo haziko mbali mtalia na kujuta kwanini hamkuyaweka mambo sawa.
View attachment 2063945
Wapinzani wa nchi hii wanatuangusha sana, hawajui hata nini wanataka, wanadandia dandia hoja za wanaCCM na kutembea na beat hizo, at least ACT wanajitahidi kujitoa hukoHawazijui siasa za Tanzania zinakwendaje, ndio maana inakuwa ngumu kuamini kuwa CCM ni moja miaka yote.
ACT ina uafadhali kidogo, japo kinapigwa vita na wanywa gongo wa chama kile kisichopenda umoja wa kitaifa, ambacho kazi yake ni kususia kila jambo lenye manufaa kwa taifa.Wapinzani wa nchi hii wanatuangusha sana, hawajui hata nini wanataka, wanadandia dandia hoja za wanaCCM na kutembea na beat hizo, at least ACT wanajitahidi kujitoa huko