Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
vipers mara yao ya kwanza kucheza makundi ila washajihakikishia points 3 za CAF , hapo kwenye ranks za CAF mwezi ujao hawakosi 50 bora ila kuna watu hao jamani wanavyoipenda 0.5 hadi nooma yaaniSiku zote kwenye sherehe, watoto hucheza disco lao mchana! Halafu wakubwa hucheza usiku.
Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.
Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.
Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Kweli huko hakuna wenye akili isipokuwa wawili kwa mujibu wa ******cheupe. Mara hii umeshasahau?Siku zote kwenye sherehe, watoto hucheza disco lao mchana! Halafu wakubwa hucheza usiku.
Uwe shabiki wa Simba kindakindaki, usiwe, una Uhuru wa kuandika uharo uutakao.Mimi kama shabiki wa. Simba kindakindaki,kwa kweli natamani Sana kuangalia mechi ya yanga kuliko timu yangu ya simba ,kwa kweli Yanga ikiwa uwanjani kama naangalia vile psg inamvuto sana.wanasimba tuandamane tuichukue Yanga ndio iwe simba bila hivyo nahama
La sivyo tuandamaneneni kwa kweli au simba ifutwe tu ibaki yanga
Kwa hisani ya rage madish yenu yamekaa tenge,,Mzee alishayaona aya mapema kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unasikilizaaaaaaaaaa 0.5 UTOPOLOOOO FM, nikisema ZERO SEMA POINT 5...ZEROOOOO
View attachment 2389163
Ww ni utopoloMimi kama shabiki wa. Simba kindakindaki,kwa kweli natamani Sana kuangalia mechi ya yanga kuliko timu yangu ya simba ,kwa kweli Yanga ikiwa uwanjani kama naangalia vile psg inamvuto sana.wanasimba tuandamane tuichukue Yanga ndio iwe simba bila hivyo nahama
La sivyo tuandamaneneni kwa kweli au simba ifutwe tu ibaki yanga
Basi tuichukue iyo ihefu ya angola uliyocheza nayo tuwape wacheze na kmc au ruvu shooting watatoka kweli? Kwa mpira huu wanaocheza kweli? Aisee ushabiki nao ni utumwaHakuna timu iliyocheza na Simba mkakubali kuwa ni nzuri. Hadi Al Ahly mliikataa! Nyinyi hamjawahi kuwa na akili.