Tunamalizia bonanza la utangulizi tukisubiria mechi ya kiume na kibabe. Utake ndiyo hivyo, ukatae itabaki kuwa hivyo!

Hakuna timu iliyocheza na Simba mkakubali kuwa ni nzuri. Hadi Al Ahly mliikataa! Nyinyi hamjawahi kuwa na akili.
Hahahaaa Tena Al ahly katoka kuchukua ubingwa wa Africa akaenda kucheza club bingwa ya dunia kashika safasi ya tatu. Kaja dar kapigwa moja na Simba
 
Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.

Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.

Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Mwarabu anaenda kuwakeketa mchana kweupeee kudadadeq
 
Mimi kama shabiki wa. Simba kindakindaki,kwa kweli natamani Sana kuangalia mechi ya yanga kuliko timu yangu ya simba ,kwa kweli Yanga ikiwa uwanjani kama naangalia vile psg inamvuto sana.wanasimba tuandamane tuichukue Yanga ndio iwe simba bila hivyo nahama
La sivyo tuandamaneneni kwa kweli au simba ifutwe tu ibaki yanga
Huna haja ya kusema ww ni simba maana mashabiki simba hatuna upumbavu
 
Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.

Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.

Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Ehe? ulikua unasemaje mama?
 
Dada umeshatiwa hukoo
 
JamiiForums1700694119.gif
 
Vipi wanaume mnaendeleaje hapo Khartoum?
 
Back
Top Bottom