Hahahaaa Tena Al ahly katoka kuchukua ubingwa wa Africa akaenda kucheza club bingwa ya dunia kashika safasi ya tatu. Kaja dar kapigwa moja na SimbaHakuna timu iliyocheza na Simba mkakubali kuwa ni nzuri. Hadi Al Ahly mliikataa! Nyinyi hamjawahi kuwa na akili.
Mwarabu anaenda kuwakeketa mchana kweupeee kudadadeqTunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.
Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.
Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Hahahaaa Tena Al ahly katoka kuchukua ubingwa wa Africa akaenda kucheza club bingwa ya dunia kashika safasi ya tatu. Kaja dar kapigwa moja na Simba
Mpira wa kumanuliwaUkweli ndio huo hili Ni bonanza saa tatu ndio mpira bhan
Huna haja ya kusema ww ni simba maana mashabiki simba hatuna upumbavuMimi kama shabiki wa. Simba kindakindaki,kwa kweli natamani Sana kuangalia mechi ya yanga kuliko timu yangu ya simba ,kwa kweli Yanga ikiwa uwanjani kama naangalia vile psg inamvuto sana.wanasimba tuandamane tuichukue Yanga ndio iwe simba bila hivyo nahama
La sivyo tuandamaneneni kwa kweli au simba ifutwe tu ibaki yanga
Wimbo tuliouzoeaa.Simba baba Lao tu katika michezo ya kimataifa..[emoji123]
Nyinyi endeleeni na hizo ranks zenu za CAF. Sisi tutaendelea tu kuchukua makombe yote ya ndani.vipers mara yao ya kwanza kucheza makundi ila washajihakikishia points 3 za CAF , hapo kwenye ranks za CAF mwezi ujao hawakosi 50 bora ila kuna watu hao jamani wanavyoipenda 0.5 hadi nooma yaani
View attachment 2389166
Ehe? ulikua unasemaje mama?Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.
Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.
Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Dada umeshatiwa hukooTunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.
Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.
Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.
Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.
Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Dushe limeshaingizwa mara 1 hukoSiku zote kwenye sherehe, watoto hucheza disco lao mchana! Halafu wakubwa hucheza usiku.
Vipi wanaume mnaendeleaje hapo Khartoum?Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.