Tunamjeruhi Dkt. Kigwangalla, wengine wakiguswa tunawaficha kwenye kichaka cha Hayati

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
324
Reaction score
649
KOSEA SIYO DHAMBI, NI KUUFANYA USHAURI KAMA KUTAKA KUMFUTA MTU.

Na Elius Ndabila
0768239284

Kumekuwa na kundi la watu wakiwepo hata baadhi ya viongozi ambao wanataka kuficha madhaifu aliyoyabaini CAG kwa kigezo kuwa ni kutaka kumchafua hayati Magufuli. Upotoshwaji huu wa wazi wazi unaofanywa na kundi la wezi, wabadhirifu na kundi lisilo na nia njema na Taifa wanatumia vibaya jina la JPM kuhalalisha uozo wao.

Kabla ya kuwataja hao watu, ninapenda niwakumbushe kuwa hoja za CAG ni tuhuma na ili kuondoka kwenye tuhuma ni lazima ujibu hoja za CAG kwa data ili uoneshe mahali alipokuonea na uondokane na hizo tuhuma.

Pili taarifa ya CAG haijaandikwa popote kuwa miradi mikubwa iliyoasisiwa na JPM isitishwe. Hakuna alipoandika. Ila maoni na jicho la CAG linaweza kutumika kuboresha mapungufu aliyoyaona. Hajashauri kuwa miradi istishwe. Hii inaonyesha watu hatujasoma ripoti ila tunazungumza tunachosikia.

CAG anaposhauri juu ya Bwawa la UMEME la Nyerere basi anamtaja ni Waziri anayehusika na huo mradi ili kama kuna kasoro arekebishe. HAMSEMI JPM.

CAG anaposema juu ya Bandari, juu ya Ujenzi wa SGR na juu ya Usafiri wa anga basi anawanyoshea vidole Wizara ya Ujenzi ili kama kuna mapungufu warekebishe.

CAG anaposema juu ya TAMISEMI hamchafui JPM bali anamtahadharisha Waziri wa TAMISEMI kusimamia vizuri Wizara ili kuziba hayo matobo.

Kwa nini kila hoja mnakimbilia kusema anamchafua JPM na anatumika kumfuta JPM? Hivi hamjui aliyemteua Kichere ni JPM?

Sasa ona uzalendo wenu ulivyo na PHD za unafiki. Mbona Kigwangalla anaposemwa hamsemi JPM anachafuliwa na kufutwa? Kwani Kigwangalla alikuwa kwenye serikali yake? Kwani yeye alikuwa akifanya mambo yake na si ya serikali?

Mimi ni MwanaCCM ninao washangaa wanaCCM wenzangu. Kama tumeamua kutetea tuwatetea wote. Hatuwezi kuzuia mawaziri wengine watu kuwahoji kwa kwa hoja za kijinga kuwa wanania ya kumfuta Hayati. Hivi kazi za kizalendo na zilizotukuka za JPM unaweza kumfuta? Hata ukiwa na mnafiki kazi za JPM hazifutiki ziwe halali au siyo halali huwezi kufuta historia yake.

Kigwangalla hakuanzisha Burig au Kilimanjaro, naye alikuwa anawajibika kwenye majukumu ya serikali.

Ninaomba makada wenzangu tusimuingize Hayati kwenye ripoti ya CAG. Kufanya hivyo ni kuonyesha namna wanaoshukiwa kukwapua fedha wanavyojificha kwenye kichaka cha kumchafua JPM.
 
Wanaofanya hivyo ni wana ccm walioingia ndani ya chama baada ya 2015.
 
Subiri wanaoheshimu mizimu, jiandae kuanguka kwa utelezi wa povu! Maana wateule waliokosea wanajificha nyuma ya mzimu. Eti wataulinda mzimu hata kama madudu ni ya maamuzi ya wateuliwa eti mzimu unaaibishwa.
Hati chafu TAMISEMI mzimu unachafuka.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
KOSEA SIYO DHAMBI, NI KUUFANYA USHAURI KAMA KUTAKA KUMFUTA MTU.

Na Elius Ndabila
0768239284

Kumekuwa na kundi la watu wakiwepo hata baadhi ya viongozi ambao wanataka kuficha madhaifu aliyoyabaini CAG kwa kigezo kuwa ni kutaka kumchafua hayati Magufuli. Upotoshwaji huu wa wazi wazi unaofanywa na kundi la wezi, wabadhirifu na kundi lisilo na nia njema na Taifa wanatumia vibaya jina la JPM kuhalalisha uozo wao.

Kabla ya kuwataja hao watu, ninapenda niwakumbushe kuwa hoja za CAG ni tuhuma na ili kuondoka kwenye tuhuma ni lazima ujibu hoja za CAG kwa data ili uoneshe mahali alipokuonea na uondokane na hizo tuhuma.

Pili taarifa ya CAG haijaandikwa popote kuwa miradi mikubwa iliyoasisiwa na JPM isitishwe. Hakuna alipoandika. Ila maoni na jicho la CAG linaweza kutumika kuboresha mapungufu aliyoyaona. Hajashauri kuwa miradi istishwe. Hii inaonyesha watu hatujasoma ripoti ila tunazungumza tunachosikia.

CAG anaposhauri juu ya Bwawa la UMEME la Nyerere basi anamtaja ni Waziri anayehusika na huo mradi ili kama kuna kasoro arekebishe. HAMSEMI JPM.

CAG anaposema juu ya Bandari, juu ya Ujenzi wa SGR na juu ya Usafiri wa anga basi anawanyoshea vidole Wizara ya Ujenzi ili kama kuna mapungufu warekebishe.

CAG anaposema juu ya TAMISEMI hamchafui JPM bali anamtahadharisha Waziri wa TAMISEMI kusimamia vizuri Wizara ili kuziba hayo matobo.

Kwa nini kila hoja mnakimbilia kusema anamchafua JPM na anatumika kumfuta JPM? Hivi hamjui aliyemteua Kichere ni JPM?

Sasa ona uzalendo wenu ulivyo na PHD za unafiki. Mbona Kigwangalla anaposemwa hamsemi JPM anachafuliwa na kufutwa? Kwani Kigwangalla alikuwa kwenye serikali yake? Kwani yeye alikuwa akifanya mambo yake na si ya serikali?

Mimi ni MwanaCCM ninao washangaa wanaCCM wenzangu. Kama tumeamua kutetea tuwatetea wote. Hatuwezi kuzuia mawaziri wengine watu kuwahoji kwa kwa hoja za kijinga kuwa wanania ya kumfuta Hayati. Hivi kazi za kizalendo na zilizotukuka za JPM unaweza kumfuta? Hata ukiwa na mnafiki kazi za JPM hazifutiki ziwe halali au siyo halali huwezi kufuta historia yake.

Kigwangalla hakuanzisha Burig au Kilimanjaro, naye alikuwa anawajibika kwenye majukumu ya serikali.

Ninaomba makada wenzangu tusimuingize Hayati kwenye ripoti ya CAG. Kufanya hivyo ni kuonyesha namna wanaoshukiwa kukwapua fedha wanavyojificha kwenye kichaka cha kumchafua JPM.
Well said
 
Siku hizi huweki namba MATAGA!

Ni jambo la kheri kuwa mmekwishatoka kwenye denial stage na kuamini jiwe hatorudi tena na upepo umebadilika
 
Noted
 
Back
Top Bottom