Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

i think you have got personal feud with sokoine
waulize watu walioenda ulaya early 90's watakuambia TV zilikuwa za aina gani, TV nyingi ni kwa ajili china wamekuwa amnufacture of the world na bei zimeshuka kwa hiyo watu ualaya wanatupa tu TV

njaa ya TZ ilisababishwa na gharama za vita za uganda na ukame mkali uliyoikumba ukanda wa africa mashariki na wakati huo ndio live aid ikaanziswha

mwalimu had nothing to do with his death
 
The correct name is Acadoga Chiledi, not Acagoda Chiledi.

Just for the records.
 

Yuko mwanae wa kiume ambaye anafanyakazi katika balozi zetu zilizoko ng'ambo na amekaa huko muda mrefu sana (miaka mingi sana) na amekuwa akihamishwa kutoka ubalozi huu kwenda mwingine ali mradi tu asirudi nchini kwani inasemekana kuwa watu wa Monduli wanampenda sana na wanataka awe mbunge wao kitu ambacho EL hapendi kitokee hata siku moja.

Huyu wamemhurumia kwa njia hiyo vinginevyo naye wangeweza kumfutilia mbali.
 
Waafrika kwa kuendeleza libeneke la kutafuta mchawi wa kila jambo ndio wenyewe; matokeo yake tunakuwa reckless katika matendo na tabia.

Kwa tabia na imani kama hizi kweli tuna safari ndefu kuelekea maendeleo ya kweli!

Kweli Miafrika ndivyo tulivyo!
 
Mwenzenu hiki kifo hadi leo kinanitatanisha. Sababu kubwa ni kuwa, siku Sokoine amekufa, nilikuwa Dodoma. Kila mtu alikuwa anafahamu kuwa Sokoine alikuwa mtu mwenye uchungu na mali ya Watanzania. Sasa siwezi amini kuwa angelifanya uzembe huu hapa chini naandika.

Siku hiyo asubuhi tulisikia sauti kubwa kwenye anga la Mazengo Secondary. Kila mtu akaanza kusema "Pipa la Rais hilo, limekuja kumchukua Sokoine". Jioni nilienda mjini kutembea na niliporudi nikaambiwa kuwa Sokoine kafa. Nikauliza sababu, nikaambiwa ni ajali. Nikauliza kama ni ajali ya ndege nikaambiwa hapana.
Sasa hadi leo najiuliza KWA NINI ALIACHA NDEGE NA KUPANDA GARI??? Hivi Sokoine kweli aliruhusu ndege itoke Dar hadi Dodoma, ili ikifika pale Dodoma, awaambie kuwa "mie ntakuja kwa gari na wenzangu?" KWenye ndege angelisafiri nao wote au wengi na kutumia muda mfupi zaidi.
MAWAZO YANGU: Sokoine aliuliwa Dodoma, na kupandishwa kwenye gari akiwa tayari Maiti. Angeliingizwa kwenye ndege, ingelijulikana nini kimefanyika. Wakamuingiza kwenye gari na kwenda kutengeneza AJALI pale Gairo.

SABABU:- Sidhani kama JKN alihusika. Ninawasiwasi na wale viongozi waliopigwa Mkwala na Sokoine kuwa "wamefanya uzembe kwenye uzalishaji wa mazao yenye kuhimili ukame na wakaruhusu yale yasiyohili ukame...." Hawa jamaa walifanya kweli na kuachana naye. Ila ukweli unabaki kwamba NI VIGUMU SANA KUFAHAMU. Dawa hapa ni moja tu, siku moja kwenda kufukua kaburi la Sokoine na ukweli uanikwe. Kama alipigwa risasi basi lazima kuna mifupa ilivunjika na itaonekana.
 
Last edited:

Semilong,
Inawezekana kweli ulikuwa mdogo miaka hiyo. Miaka ya 90 mwanzoni nilikuja fahamiana na huyu jamaa Chiledi. Baadhi ya habari ulizoandika ni kweli ila wakati huo nimekutana naye, alikuwa ni Boss fulani wa SHIHATA. Pamoja na yeye nikaja kumfahamu mpiga picha Joe Kitama pia wa Shihata na enzi hizo akiiishi Ilala Flats. Nilikutana naye mara kadhaa na siku zote akiwa pale SHIHATA na si kweli kama unavyosema alikuwa akija na kukaa wiki mbili na kuondoka. Hiyo labda ilikuja kutokea miaka ya 90 katikati wakati huo Sokoine kafariki miaka 10 nyuma.

Hivyo, kwa ufupi ni kuwa baada ya kifo cha Sokoine, Chiledi alikuja kukaa muda mrefu tu Tanzania (SHIHATA)/Dar es salaam.
 
Nilikuwa najiuliza kwa vipi akina Yahaya Hussein wanapata wateja? Lakini ukisoma thread hii na ile ya Mwakyembe unapata jibu wazi kwamba Yahaya ataendelea kutesa tu mpaka anakufa. Inaelekea kuna wateja wake wengi kweli Tanzania.
 
- Mimi hapa ninasubiri kusikia role ya Kolimba aliyekua karibu naye kuliko wote, kama hii habari ni kweli je Kolimba alihusika au hakuhusika?

- Kama alihusika ni kwa vipi? Kisheria za uwt hakuna mtu zaidi ya Mlinzi na dereva wanaoruhusiwa kusaifiri ndani ya gari la a sitting Waziri Mkuu, especially kutoka Dodoma kwenda Dar, ni impossible kabisaa, simply hairuhusiwi,

- Kama huyo Chiledi angekua alisafiri ndani ya hilo gari la a sitting Waziri Mkuu, basi kuanzia Mlinzi wake mpaka Mzee Mzena RIP, wangeshakuwa mabangusilo kabla hata Sokoine hajazikwa!

Respect.

FMES!
 
FMES,
Nadhani wakati Sokoine anafariki Mzee Mzena alishastaafu. No?
 
Nilikuwa najiuliza kwa vipi akina Yahaya Hussein wanapata wateja? Lakini ukisoma thread hii na ile ya Mwakyembe unapata jibu wazi kwamba Yahaya ataendelea kutesa tu mpaka anakufa. Inaelekea kuna wateja wake wengi kweli Tanzania.

kwi kwi kwi.......kumbe nawe umeona hilo kwi kwi kwi kwi...........
 

Je waweza kuwa na uhakika alikuwa na magari mangapi katika msafara? Je ni kwa nini alikataaa ndege siku hiyo na akaamua kuja wa gari? Who convinced him? Ukitegua maswali hayo muhimu then I will concide with you.
 
IO
I was wondering about Mustafa Nyang'anyi. What was his beef? Mbona Jumbe humweki kwenye hili kundi maana na yeye nilishasikia akitajwa tajwa?
Mustafa Nyang'anyi ndiyo aliongoza msafara kutoka Dodoma kwenda Dar; na pale njiani ndiyo ajali ilitokea. Huyu ilibidi awe shahidi wa kwanza kutuambia situation ilivyokuwa. Vile vile aliyebidi aongoze ule msafara alikuwa siyo yeye, bali ni Kolimba. Kolimba gave a story on his last hours with Sokoine.

Also remember that; Mr. Nyerere sent a plane to pick Sokoine from Dodoma back to Dar; but the plane was hijacked (taken) by Mr. Kawawa for another private visit somewhere. It was only diverting the plane from taking Mr. Sokoine so that he can be dealt.
 
Nilikuwa najiuliza kwa vipi akina Yahaya Hussein wanapata wateja? Lakini ukisoma thread hii na ile ya Mwakyembe unapata jibu wazi kwamba Yahaya ataendelea kutesa tu mpaka anakufa. Inaelekea kuna wateja wake wengi kweli Tanzania.
Ndugu yangu watu hapa are discussing the "circumstances" how Sokoine died, because always there is no clear explnation; and those who know it were not given opportunity to explain. Note that he was a Prime Minister, na mie sielewi, kwa nini Prime Minister agongwe na gari na kufa kirahisi rahisi hivyo.

Vile vile nakushangaa sana unavyo-compare ati wanao-discuss hii thread na "fortune tellers/horoscope"; I always respect ideas, but I sometimes question on superstitious thinking; kwa mfano you're among the people who do not believe that Ballali is dead; you're more superstitious!!
 
Ok, let entertain this thought for a second:

Mashahidi kuwa Sokoine aliuawa:

- Dr. Shaba (akiwa amelewa chakari!)
- Dubisan Dube (alikubali hatia n.k na akahukumiwa mara moja)

Could there be more witnesses?


Kwamba ilikuwa ni Ajali:

- Hakuna shahidi hata mmoja.

Mahakama gani hiyo?


Motives:

As different as the people who propose them.
 
Mahakama: Kisutu
 
ZIMBABWE / SOLDIERS' PAY HIKE -- ZIMBABWE HAS RAISED SOLDIERS SALARIES BY 55 TO 60 PERCENT. REPORTER AIKA ELINEWINGA DISCUSSED THE ARMY'S PAY INCREASE WITH STRINGER ACADOGA CHILEDI IN HARARE. (SWAHILI 8/25)
Voice of America, 25 August 1995

Huyu jamaa amevanish kwenye net toka 1995. ....
 
IO... kwamba Sokoine aliuawa ni kazi kubwa sana hata kujaribu kufikiria.... kusema mlevi kasema hivyo na kuchukulia maneno hayo kama kweli, hakuna mahakama yoyote duniani inaweza kuyapokea kiurahisi hivyo.

Mwanakijiji,

Point ni kuwa siku ya kwanza alikataa baada ya siku tano akakubali, baadaye akapelekwa Uingereza na sio gerezani.

Kwa sasa yupo Afrika kusini na anakana kusababisha ajali.

Kuna ka point hapo mzee... something is missing. Just think a little bit!
 
gazeti la africa events liliandika kuhusu mysterious death of sokoine kwa kirefu wakati huo, wakamshuku kawawa kwa kuwa alikuwa fisadi kupitia kwa ndugu yake aliyeitwa jamshid kawawa, huyu alikuwa amekamatwa kwenye vita dhidi ya wahujumu uchumi na kawaw, nakumbuka wakti huo nilikuwa form 3 katia shule ya seminary ya st james kilema moshi, na mapadri wale walikuwa wanaweka magzeti ya nje kwenye libbary, kumbukeni wakati huo gazeti lilikuwa ni uhuru na daily news full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…