Tunamlipa Nini Fiston Mayele Kwa Kuitangaza na Kuifikisha Mbali Ligi KUU Tanzania Bara?

Mpe ndogo.. maana yule mwenzako tayari aliweka wazi kama mayele anataka zaga atampa
 
Wengi tumekuwa tukishangilia Fiston Mayele. Pale anapofunga tumekuwa wepesi kuiga namna yake ya kipekee ya ushanhiliaji. Hata wale wa upande wa pili nasikia walikuwa wakitetema kisiri huko faragha.

Wengi tumeinjoy uwepo wake katika Ligi yetu pendwa.

Kama umekuwa mfuatiliaji makini wa LiGI KUU utakubaliana nami kuwa tangu atue Jangwani kuna exposure fulani hivi ambayo imekuwa ikikosekana huko nyuma ila yeye amekuja nayo.

Kwa mfano kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wafuatiliaji wa mpira wa wana michezo nje ya mipaka ya Tanzania.

Pia kuna ongezeko kubwa sana la kundi rika la chini kufuatilia mpira zaidi msimu huu kuliko misimu yote iliyowahi kuwako.

Aidha, Vyombo mbalimbali vya Kimataifa vya Habari na Burudani vimeanza kuiangazia Ligi Yetu ya Tanzania. Kwa mfano mashirika ya mpira wa miguu kutoka barani Ulaya ie LaLIGA.

Pia ongezeko la wachezaji wa kigeni kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni matunda ya Uwepo wa Mayele katika LiGI KUU. Kila mchezaji hivi sasa anatamani kucheza Tanzania ili awe kama Fiston Mayele.

Si Makanisani, Si Misikitiki wala Maofisini Fiston Mayele amekuwa gumzo. Hiyo yote inatokana na jitihada zake za kuosaidia LiGI KUU ya Tanzania kupata recognition kutoka nje ya mipaka ya Tanzania kwa lengo la kuvutia uwekezaji.

Haya Yote Anafanya FISTON MAYELE. Kwa moyo wake mkunjufu ameamua kuwa mzalendo wa hiari kwa Taifa la Tanzania.

Sio Kwamba angeshindwa kufanya haya kwako lakini amechaguwa kutufanyia hivi watanzania.

Je, TUMEJIANDAA KUMLIPA NINI?

View attachment 2278661
I stand to support
 
Na ndiyo kisa nilisema Mayele atabaki kuwa Mayele tu...kiatu kakikosa kwa kua sio mzawa,magoli yake aliyokataliwa ni mengi kuliko mchezaji yeyote yule ktk ligi ýa Nbc msimu huu.
 
Nikusahihishe staili ya mayele na yeye kaiga kwenye season ya sanger. Ni season ya waturuki.
Sasa kaangaalie hiyo season then uje kusema season na mayele stayle ipi imeanza.
Hata kama kaiga lakini yeye ndiye kaileta hapa
Wengi tumeifahamu style hii kupitia yeye
 
Sanger imeanza kuigizwa mwaka 2017

Ikazinduliwa mwaka 2019

Mayele ameanza kutetema kabla ya mwaka 2016.
Labda ya jangwani. Sanger nayoijua Mimi ya tangu 2014.

Nyongeza.
Umewahi kuona mahujaji wa kituruki/UAE wakiwa Wana zikiri?
Basi ndipo ambapo mayele kaenda kukopi kutetema
 
Mpe ndogo.. maana yule mwenzako tayari aliweka wazi kama mayele anataka zaga atampa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwan huko jangwani kupeana zaga wameanza leo?au ni jambo la kushangaza? Kwao ni kawaida kabisa, Mchezaji na kiongozi wanagombania bwana (mchezaji), bwana anaamua ku settle na mchezaji mwenzie, kiongozi anaamua kufanya fatiki ya kuvujisha video ya mchezaji akiwa na bwana mwingne,

Mwisho bwana (mchezaji) akaamua kusepa zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo utopwinyo kupeana zaga ni utaratibu wao.
 
Tukijiuliza kitu cha kumpa pole ilhali na wewe upo inakuwa ni kama kupoteza muda tu, sisi kama Watz tutakuozesha kwake maana umeonyesha mahaba ya kiwango cha juu sana kwake.
 
Wengi tumekuwa tukishangilia Fiston Mayele. Pale anapofunga tumekuwa wepesi kuiga namna yake ya kipekee ya ushanhiliaji. Hata wale wa upande wa pili nasikia walikuwa wakitetema kisiri huko faragha.

Wengi tumeinjoy uwepo wake katika Ligi yetu pendwa.

Kama umekuwa mfuatiliaji makini wa LiGI KUU utakubaliana nami kuwa tangu atue Jangwani kuna exposure fulani hivi ambayo imekuwa ikikosekana huko nyuma ila yeye amekuja nayo.

Kwa mfano kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wafuatiliaji wa mpira wa wana michezo nje ya mipaka ya Tanzania.

Pia kuna ongezeko kubwa sana la kundi rika la chini kufuatilia mpira zaidi msimu huu kuliko misimu yote iliyowahi kuwako.

Aidha, Vyombo mbalimbali vya Kimataifa vya Habari na Burudani vimeanza kuiangazia Ligi Yetu ya Tanzania. Kwa mfano mashirika ya mpira wa miguu kutoka barani Ulaya ie LaLIGA.

Pia ongezeko la wachezaji wa kigeni kutoka nje ya mipaka ya Tanzania ni matunda ya Uwepo wa Mayele katika LiGI KUU. Kila mchezaji hivi sasa anatamani kucheza Tanzania ili awe kama Fiston Mayele.

Si Makanisani, Si Misikitiki wala Maofisini Fiston Mayele amekuwa gumzo. Hiyo yote inatokana na jitihada zake za kuosaidia LiGI KUU ya Tanzania kupata recognition kutoka nje ya mipaka ya Tanzania kwa lengo la kuvutia uwekezaji.

Haya Yote Anafanya FISTON MAYELE. Kwa moyo wake mkunjufu ameamua kuwa mzalendo wa hiari kwa Taifa la Tanzania.

Sio Kwamba angeshindwa kufanya haya kwako lakini amechaguwa kutufanyia hivi watanzania.

Je, TUMEJIANDAA KUMLIPA NINI?

View attachment 2278661
Mbong'oleeni tu
 
Back
Top Bottom