sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Tunamiss yule Diamond mwanamuziki. Tunammiss Diamond entertainer. TunammissDiamond drama boy. Kiukweli Diamond akipoa na muziki wetu unapoa. Diamond ni kama chameleon alivyokuwa anaubeba muziki wa uganda.
Diamond tangia awe CEO wa biashara kubwa kubwa amekuwa anafanya muziki kibepari sana kuna zile mbwembwe za Diamond hatuzipati tena.
Awa vijana wanaojaribu kupita njia zake bado sana hawana nyota ya mvuto mwisho wa siku wanaboa tu.
I wish Diamond asingekua na biashara kubwa na endorsement kubwa kubwa ili tupate ile taste halisi ya diamond.