Tunammiss Diamond wetu entertainer. Huyu Diamond mfanyabiashara anatunyima uhondo

Tunammiss Diamond wetu entertainer. Huyu Diamond mfanyabiashara anatunyima uhondo

Chawa wa Domokaya mnalo hili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
If you live in the past the future will never find you.
Siku hizi tamthlia zao wanajitahidi kama huba na juakali. Mimi tamthlia za kiswahili napendelea wakenya ila ikitokea nimeona huba au juakali naona wamepiga hatua sana kuliko hata enzi za kanumba.
New faces zinafanya poa poa. Hata Mimi Mars, nadhani anajua kuigiza hata Quick Rocka anajua kuigiza zaidi
Ktk tamthilia zote kali ni KAPUNI.
Ile ni nomaaah. Haichoshi wala haiboi.
 
Ila mimi kusema kweli hata wanaija kwenye movie uwa naona tofauti yao na watanzania ni wao kuzungumza pidgin ila sionagi maajabu yao yoyote na wala mimi sio mpenzi kabisa wa movie zao.
Mimi napenda Wasouth na Wazimbabwe kuna moja inaonyeshwa show max ni ya wakenya inahusu crime tangazo lake uwa linanifanya nihisi ni nzuri
Nipe jina la hiyo movie
 
Song:UTU-Alikiba
Hii ngoma imenifanya nimkubali alikiba na sasa nimeanza kukubaliana na team kiba waliokuwa wanasema mondi hamfikii alikiba kwa utunzi

Ni kweli Diamond alikuwa zamani,yule aliekuwa anaumizwa na mapenzi anakuja na ngoma kali lakini sahiv anapesa hata haumizwi kimapenz tena
Utu katungiwa na jamaa mmoja anaitwa vanilla ambaye ni song writer lakini pia ni muimbaji
 
Kwenye upande nzima wa movie kuanzia wanaijeria hadi wafilipino na wakorea hakuna kitu filamu zao nyingi mbovu ila lugha zinawabeba tu.

Ila kwenye upande wa Tv Show hapa Kuna Wamarekani na Wakorea hawa ni NEXT LEVEL na wapo mbali sana.

Wahindi ni wabovu kwenye Tv Show hakuna mfano ila kwenye Movie wapo mbali sana japo zingine Huwa uwongo unazidi.
Kuna series ya kikorea moja hivi niliicheki inaitwa "Innocent Defendant" ni Kali ile mbaya hata kwenye list yangu Kali nilizowahi kutazama duniani hii inaingia kwenye top 3 yangu all the time wakorea wanajua Sana hii series imepangiliwa vizuri story mpaka mtiririko mzima wa story upo well organized hakuna utoto kabisa wahusika wamevaa vizuri uhusika na kuna ubunifu mzuri kiasi ambacho kila episode inapoisha unakuwa na hamu yakucheki next episode kujua nini kitajili starring na adui wamepewa nguvu sawa kimaudhui kiasi ambacho kumsaidia kuleta msisimuko wa series.
 
Kwenye upande nzima wa movie kuanzia wanaijeria hadi wafilipino na wakorea hakuna kitu filamu zao nyingi mbovu ila lugha zinawabeba tu.

Ila kwenye upande wa Tv Show hapa Kuna Wamarekani na Wakorea hawa ni NEXT LEVEL na wapo mbali sana.

Wahindi ni wabovu kwenye Tv Show hakuna mfano ila kwenye Movie wapo mbali sana japo zingine Huwa uwongo unazidi.
Mkuu wakorea gani? Kama wa kiduku sawa
Ila wakorea wana film na series kali sana
 
If you live in the past the future will never find you.
Siku hizi tamthlia zao wanajitahidi kama huba na juakali. Mimi tamthlia za kiswahili napendelea wakenya ila ikitokea nimeona huba au juakali naona wamepiga hatua sana kuliko hata enzi za kanumba.
New faces zinafanya poa poa. Hata Mimi Mars, nadhani anajua kuigiza hata Quick Rocka anajua kuigiza zaidi
Watakuja kuniua ila kanumba is overrated
 
Back
Top Bottom