Nakumbuka nilivyokuwa mpenzi wa Bongo movie, tangu Kanumba afariki sijawahi kuangalia tena aisee!yaani kaingia na wasafi bet sijui nini,,,
ila daa kutegemea nyota ya mmoja ndio kilichoiangusha bongo muvi baada ya kanumba
If you live in the past the future will never find you.Nakumbuka nilivyokuwa mpenzi wa Bongo movie, tangu Kanumba afariki sijawahi kuangalia tena aisee!
Kina Rey walikuwa wanatembelea nyota ya jamaa [emoji1][emoji1][emoji1]
Ila mimi kusema kweli hata wanaija kwenye movie uwa naona tofauti yao na watanzania ni wao kuzungumza pidgin ila sionagi maajabu yao yoyote na wala mimi sio mpenzi kabisa wa movie zao.Kwenye production quality wanajitahidi kuliko uko nyuma.
Lakini tukija kwenye mastaa wa movie bado hatuna staa wa movie anaeweza kuibeba industry akatoa movie tukaipa attention kama taifa.
Wampite basi km kaisha mbona bado anawabuluza kwa gap kubwa sana
Mimi kwakweli naonaga movie zao za kawaida tu.Kwenye upande wa production south africa walishapiga hatua miaka mingi sana nyuma walichopigwa bao na wanaija ni kukosa watu wa kuibeba industry yao ya movie.
Naija wana watu kama genevive ramsey noah ni maarufu kuliko movie zao...hii ni muhimu sana kwenye mambo ya sanaa.
Hapana nimemmis mamako mzazi kumpakata
Kwenye upande nzima wa movie kuanzia wanaijeria hadi wafilipino na wakorea hakuna kitu filamu zao nyingi mbovu ila lugha zinawabeba tu.Ila mimi kusema kweli hata wanaija kwenye movie uwa naona tofauti yao na watanzania ni wao kuzungumza pidgin ila sionagi maajabu yao yoyote na wala mimi sio mpenzi kabisa wa movie zao.
Mimi napenda Wasouth na Wazimbabwe kuna moja inaonyeshwa show max ni ya wakenya inahusu crime tangazo lake uwa linanifanya nihisi ni nzuri
Diamond wa nitarejea, diamond wa mdogo mdogoTunamiss yule Diamond mwanamuziki.Tunammiss Diamond entertainer......TunammissDiamond drama boy.....Kiukweli Diamond akipoa na muziki wetu unapoa.... Diamond ni kama chameleon alivyokuwa anaubeba muziki wa uganda.
Diamond tangia awe CEO wa biashara kubwa kubwa amekuwa anafanya muziki kibepari sana kuna zile mbwembwe za Diamond hatuzipati tena.
Awa vijana wanaojaribu kupita njia zake bado sana hawana nyota ya mvuto mwisho wa siku wanaboa tu.
I wish Diamond asingekua na biashara kubwa na endorsement kubwa kubwa ili tupate ile taste halisi ya diamond.