Tunammiss Diamond wetu entertainer. Huyu Diamond mfanyabiashara anatunyima uhondo

Chawa wa Domokaya mnalo hili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ktk tamthilia zote kali ni KAPUNI.
Ile ni nomaaah. Haichoshi wala haiboi.
 
Nipe jina la hiyo movie
 
Utu katungiwa na jamaa mmoja anaitwa vanilla ambaye ni song writer lakini pia ni muimbaji
 
Kuna series ya kikorea moja hivi niliicheki inaitwa "Innocent Defendant" ni Kali ile mbaya hata kwenye list yangu Kali nilizowahi kutazama duniani hii inaingia kwenye top 3 yangu all the time wakorea wanajua Sana hii series imepangiliwa vizuri story mpaka mtiririko mzima wa story upo well organized hakuna utoto kabisa wahusika wamevaa vizuri uhusika na kuna ubunifu mzuri kiasi ambacho kila episode inapoisha unakuwa na hamu yakucheki next episode kujua nini kitajili starring na adui wamepewa nguvu sawa kimaudhui kiasi ambacho kumsaidia kuleta msisimuko wa series.
 
Mkuu wakorea gani? Kama wa kiduku sawa
Ila wakorea wana film na series kali sana
 
Watakuja kuniua ila kanumba is overrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…