kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Maisha yapo kasi sana wakati tunaendelea kumwaga pongezi za utendaji mzuri wa mama Samia Rais wa JMT katika kipindi cha miaka miwili.
Tumshukuru pia aliyemteua na kumpa nafasi ya kuwa mgombea mwenza wake mpaka makamu wa raisi mpaka kufikia uraisi wa katiba katika nchi yetu.
Tumpe haki yake aliyemchagua kwa kuwa na jicho na maono mazuri kwa msaidizi wake aliyemchagua,
Tusiwe wepesi wa kumsifu anaye kimbia tukamsahau anaye mkimbiza!
Hongera kwake aliyeona busara ya mama na hekima zake na kumleta kwetu Watanzania!