kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nini kitapungua mkuu!Mteuaji apewe sifa kwasababu gan, ni lazima tukubali JPM kuna mamb kadha alifanya vzr san hilo halina ubishi! Awamu yake alifanya mazuri pia
Kila mmoja atapongezwa kwa mazuri yake na sio uteuzi!!Nini kitapungua mkuu!
Nani kakuambia kuwa mgombe mwenza wa CCM anateuliwa na mgombea urais? Mgombea urais akishapatikana anakabidhiwa mgombea mwenza na chama. Khalaas.Maisha yapo kasi sana wakati tunaendelea kumwaga pongezi za utendaji mzuri wa mama Samia Rais wa JMT katika kipindi cha miaka miwili.
Tumshukuru pia aliyemteua na kumpa nafasi ya kuwa mgombea mwenza wake mpaka makamu wa raisi mpaka kufikia uraisi wa katiba katika nchi yetu.
Tumpe haki yake aliyemchagua kwa kuwa na jicho na maono mazuri kwa msaidizi wake aliyemchagua,
Tusiwe wepesi wa kumsifu anaye kimbia tukamsahau anaye mkimbiza!
Hongera kwake aliyeona busara ya mama na hekima zake na kumleta kwetu Watanzania!
Tueleze wewe ujuaye!Nani kakuambia kuwa mgombe mwenza wa CCM anateuliwa na mgombea urais? Mgombea urais akishapatikana anakabidhiwa mgombea mwenza na chama. Khalaas.
Hujaelewa?Tueleze wewe ujuaye!