Z kali
Member
- May 25, 2022
- 86
- 159
Nawasalimu nyote
Dada angu MKUBWA ana watoto wanne wote wa kiume, Sasa shida ni huyu wa mwisho, tangia Yuko mdogo alikuwa na vitabia tabia kama vya kike, yani michezo yake, pia alipenda Sana kucheza na watoto wa kike zaidi kuliko wa jinsia yake, na vitabia vingine zinazofanana na hizo,
Amekuwa na hivi vitabia tukijua Ni utoto tu labda akikuwa ataacha, kijana amekuwa atimae shule,
Nifupishe tu, miaka kibao siko home kutokana na harakati za maisha naishi mbali na mkoa wangu (home), hata miaka kadhaa nikirudi home likizo huwa tunapishana na huyu dogo, kwakuwa anasoma mbali kidogo na Yuko bweni,
Mwaka huu nimebahatika kuonana na huyu dogo baada ya miaka mingi kupita, Aisee! Mtoto ana tabia zote za kike, yaani kuongea, kutembea, hata kunitazama usoni hawezi kabsa, ana tabia zote za kike,
Nimeshindwa hata kumuuliza sister, ilinibidi nifatilie tu mtaani kujihakikishia nn kinaendelea kwa huyu dogo, habar nilizopata Ni kuwa licha ya kuwa na tabia za kike ila pia dogo kaanza pia na mchezo wa kinyume na maumbile japo anafanyia mbali na home tena kwa kujificha, imeniumiza Sana kwakweli na sijui kwa umri alionao namsaidiaje ili awe rijali, dogo Yuko form four now,
Ushauri wenu wakuu inawezekana kumsadia huyu dogo, nafanyaje kumsaidia?
Nb: kichaa anachekesha kama sio ndugu yako,