GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wivu tu"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.
Katika Pombe hata Mimi GENTAMYCINE sibishi na simbishii Wema Sepetu kuwa Kaiacha, ila akisema kuwa na hata Bangi aipendayo hata kuliko Chakula na Mkuyenge ( Wakazi wa Jirani na Kwao hasa kwa Mama yake Mzazi ni Mashahidi Tukuka ) nayo Kaachana nayo / Kaiacha nitambishia na kumkatalia mchana Kweupe kwakuwa najua hatoweza na hana Ubavu wa Kutoitumia.
Bangi zake wewe zinakuhusu nini? Umbea huo."Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.
Katika Pombe hata Mimi GENTAMYCINE sibishi na simbishii Wema Sepetu kuwa Kaiacha, ila akisema kuwa na hata Bangi aipendayo hata kuliko Chakula na Mkuyenge ( Wakazi wa Jirani na Kwao hasa kwa Mama yake Mzazi ni Mashahidi Tukuka ) nayo Kaachana nayo / Kaiacha nitambishia na kumkatalia mchana Kweupe kwakuwa najua hatoweza na hana Ubavu wa Kutoitumia.
Kumbe wema sepetu ni shoga ako, Naona.unamjua kuliko anavojijua"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.
Katika Pombe hata Mimi GENTAMYCINE sibishi na simbishii Wema Sepetu kuwa Kaiacha, ila akisema kuwa na hata Bangi aipendayo hata kuliko Chakula na Mkuyenge ( Wakazi wa Jirani na Kwao hasa kwa Mama yake Mzazi ni Mashahidi Tukuka ) nayo Kaachana nayo / Kaiacha nitambishia na kumkatalia mchana Kweupe kwakuwa najua hatoweza na hana Ubavu wa Kutoitumia.
Na ndio maisha sasa!!Wema huwa sio mwanadamu wa kawaida tafuta mtu yoyote aliewahi ongea nae walau kwa masaa mawili .ni aidha wanaenda sana kwa sangoma au walizaliwa hivo.hayuko na hofu wala hachukulii maisha serious
Ni waajabu sanaNa ndio maisha sasa!!
Shangazi inakuwaje?Bangi zake wewe zinakuhusu nini? Umbea huo.
Acha kumsumbua Shangazi Kala urojo na chai saiz amepumzikaShangazi inakuwaje?
Nani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.Shangazi inakuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.
Shangazi hyako ni yule aliyezaliwa tumbo moja na baba'ko, sifahamu hata kama huyoi baba'ko unamfahamu, kwa lugha yako unaonesha ni mtoto wa singo mama. Kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko" matokeo, kila mwanamke duniani unamhisi kuwa ni shangazi yako.
Kamuulize vizuri mamako kuhusu shangazi yako ni yupi.
Saad30 Umeyatimba mkuuNani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.
Shangazi hyako ni yule aliyezaliwa tumbo moja na baba'ko, sifahamu hata kama huyoi baba'ko unamfahamu, kwa lugha yako unaonesha ni mtoto wa singo mama. Kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko" matokeo, kila mwanamke duniani unamhisi kuwa ni shangazi yako.
Kamuulize vizuri mamako kuhusu shangazi yako ni yupi.
i second yu on ths bi dada, tena mbea mwenyewe dume.Bangi zake wewe zinakuhusu nini? Umbea huo.
Bora umtukane mtu direct kuliko haya maneno yanayoumiza.. 😄😄Nani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.