Tunamtafuta huyu mama, anayemjua atusaidie kuna wanaotaka kumsapoti

Tunamtafuta huyu mama, anayemjua atusaidie kuna wanaotaka kumsapoti

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Kama unamjua huyu mama anatafutwa ili wamsapoti.

MAMA.jpg
 
Kikapu chake cheusi kimejaa MACHUPA YA "Chachandu" ,ukwaju ,tomato na mbirimbi"....

Maskini ameshamaliza biashara yake ya SAMBUSA ,MIHOGO NA "vichips vya watoto" anakuja "KUPIGIKA" mbele ya hilo DUBWANA 🤣🤣🤣🤣
Kuna jamaa yangu aliliwa 5k ya sigara alizotumwa na mzee wake.

Hilo dude linafilisi vizuri tu
 
Back
Top Bottom