Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣 Hilo dude hatariKuna jamaa yangu aliliwa 5k ya sigara alizotumwa na mzee wake.
Hilo dude linafilisi vizuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Hilo dude hatariKuna jamaa yangu aliliwa 5k ya sigara alizotumwa na mzee wake.
Hilo dude linafilisi vizuri tu
#KAZIIIENDELEEE
Kwenye kikapu chake hapo chini naona ana chupa ya mafuta ya kula, pengine alitaka ela iongezeke ili apate ela ya mboga. Kuna haja kweli ya kumtafuta ili tumpe sapoti.
Mzee wake alimfanyaje sasa??.Kuna jamaa yangu aliliwa 5k ya sigara alizotumwa na mzee wake.
Hilo dude linafilisi vizuri tu
Jamaa aliweka bond simu yake ili apate pesa za sigara.Mzee wake alimfanyaje sasa??.
Mchina kasha fanya makeke [emoji23][emoji23]Kikapu chake cheusi kimejaa MACHUPA YA "Chachandu", ukwaju, tomato na mbirimbi"
Maskini ameshamaliza biashara yake ya SAMBUSA ,MIHOGO NA "vichips vya watoto" anakuja "KUPIGIKA" mbele ya hilo DUBWANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
....Shanghai hiyooo 🤣Mchina kasha fanya makeke [emoji23][emoji23]
Unaongelea wazee wa wapi? Sio kile mzee ni mbumbumbu kama wazee wakoHivi inawezekana kweli kwa Mzee kama huyo kujua kuucheza huo mchezo?
Maana Mzee kama unaweza kukuta hata simu ya tochi tu inampashida kutumia.
Huwenda watu wamemseti hapo.
Mbona hawakumpiga picha akiwa anacheza kama ni tabia yake?
Kwenye mkutano mmoja na marehemu JPM, mbunge wa zamani wa Kawe Adamjee alitoa hoja kuwa hii michezo ya kamali ipigwe marufuku kwani inaongeza I maskini kwa nchi na pia kuharibu maadili ya vijana.Pray for our country
Sijui kwanini umenijibu kwa jazba!Unaongelea wazee wa wapi? Sio kile mzee ni mbumbumbu kama wazee wako
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app