Tunamtafuta huyu mama, anayemjua atusaidie kuna wanaotaka kumsapoti

Kikapu chake cheusi kimejaa MACHUPA YA "Chachandu", ukwaju, tomato na mbirimbi"

Maskini ameshamaliza biashara yake ya SAMBUSA ,MIHOGO NA "vichips vya watoto" anakuja "KUPIGIKA" mbele ya hilo DUBWANA 🤣🤣🤣🤣
 
Kikapu chake cheusi kimejaa MACHUPA YA "Chachandu" ,ukwaju ,tomato na mbirimbi"....

Maskini ameshamaliza biashara yake ya SAMBUSA ,MIHOGO NA "vichips vya watoto" anakuja "KUPIGIKA" mbele ya hilo DUBWANA 🤣🤣🤣🤣
Kuna jamaa yangu aliliwa 5k ya sigara alizotumwa na mzee wake.

Hilo dude linafilisi vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…