Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

hali sio nzuri karibu wasanii wooootee,vinyimbo vinakera kusikiliza,wamefikia ile hatua ya bongo movie ambapo kazi zao zilianza kufanana,locations,stories kila kitu,hakuna hata nyimbo inayotoka sasa hivi inanistua kiukweli.
 
Ni kama Roma tu ila nahisi icho ambacho akieleweki ndicho kinachowalipa kuliko kile kinachoeleweka so nahisi wanafanya kinachowalipa na sio kinachoeleweka
 
Ni kama Roma tu ila nahisi icho ambacho akieleweki ndicho kinachowalipa kuliko kile kinachoeleweka so nahisi wanafanya kinachowalipa na sio kinachoeleweka
Niliwahi kuwaza hivi pia...

Lakini hakilast..

Arudi kwenye level zake..miziki inayoishi.

Hizi bubblegum awaAchie akina SHISHI
 
Kwanza nikiri Im his biggest fan..
Kwakweli nimevumilia bimeshindwa....

Nimempigania sana ila hapana..

Anaharibu.

Hii ngoma yake ya sasa ya mipaka ndo sijaielewa kabisa.
Wacha aende tu ...
Anaendesha maisha yake kwa hizo nyimbo usizozipenda
 
Kwanza nikiri Im his biggest fan..
Kwakweli nimevumilia bimeshindwa....

Nimempigania sana ila hapana..

Anaharibu.

Hii ngoma yake ya sasa ya mipaka ndo sijaielewa kabisa.
Wacha aende tu ...

Joh makini nilikua na mwelewa sana mara mwisho kusikiliza wimbo wake karibu tena kwenye shoo za joh naw anaimba pumba tu Nimebakiza One Incredible ndo mtu nae msikiliza siku hizi na niki mbishi na Nash mc Fid Q nae siku hizi simwelewi kabisa
 
Wasanii wengi sikuhizi wanajifanya kuchange flow kuwa ndo wanaenda na soko, lakini kiuhalisia wanapoteza identity zao!
 
Back
Top Bottom