Hahaha...nimekusoma mkuu ishia hapo...oouh labda kweli maana siwezi jua lakini mafanikio hayajifichi.
Namfahamu john vizuri saana kama utapajua 360 utanielewa na mtaa wa jaluo walipohamia. Asante.
Haha poa.Hahaha...nimekusoma mkuu ishia hapo...
Uchumi wao unaujua?swali la kizushi lakini lina maana kubwa.
Hawa jamaa wamemiliki soko kwa muda mrefu lakini uchumi wao mbona hausadifu yaliyomo au pia wanachokifanya hakiuzi kiviile???
naujua ule unaoonekana hasa kwao lakini kwa Arusha Dar sijui hata wanaishi wapi labda wanauchumi mkubwa wamewekeza huko.Uchumi wao unaujua?
Yeah, sure.Ila mkuu Leigwanan usisahau kua Kababaa anafanya Phd so ni gharama pia kujilipia jombaa.
Phd ni kama m26 hadi 30 kwa hapa bongo...Diamond alitoa gari ya m26 kwa mchepuko ulionasa mimba!....ukweli ni kwamba game yao imewapa hela ya kulipia pango,kula,kuingia sheli na vitu vingine vidogo lakini sio kufanyia big investments!Ila mkuu Leigwanan usisahau kua Kababaa anafanya Phd so ni gharama pia kujilipia jombaa.
Amepoteza u-mwamba wakeNashkuru kama na ww umeliona ilo mkuu. Kuna watu nilibishana nao kuhusu ilo nikaonekaa simkubali Joh. Ila kiukweli Makini wa sasa hivi hata mimi simuelewi.
Fid ni best lkn Joh pia anaweza. Mm nawashabikia woteHawezi rudi tena achana nae,hamia kwa Fid Q.
G alkuwa anaimba tangiapoMbona sio yeye tu hata G wa sasa sio yule wa ndo zetu
Unaweza kuimba laini ila ukakaza kwny kuandka. Mbona ile Kilimanjaro ni laini ila kaandka vizurUpepo umebadilika zile hardcore hiphop sasa zinaonekana "haziuzi" tena in the sense kwamba wale wanaobakia na hardcore hiphop ni wale walio na misingi yao "economic resilience"cheki watu kama Watengwa recs. wao wamebakia na hardcoreHiphop kutokana na mahaba yao sasa kwa sababu ya "njaa" hardcore hiphop inatupwa kando japo ni mziki wenye kutoa uhalisi wa maisha ya "watu wetu" nafikiri ndio chanzo cha Joh na wengine wengi kufanya hihop laini.
KapitilizaEti”Nikiona kibinda mi nadinda nakitia mimba”ahahaaahaahhaahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama kubadilika si kwa ujinga huo.Ptuh.
Mzimu wa shaaban robertNgoja niendelee Kumsikilia Nash Mcee
Umeona mkuuJoh makini siku hizi anazingua sana anapoelekea ataribu heshima uliyoweka
Yeah unaitwa Kata Leta...Frankly speaking mm sikuupenda hata siusukilizi sujui wadau wengine.Ila najua Nick huwa anapitia humu Jf achukue hizi changamoto wakazifanyie kazi ili waendelee kuwepo kwenye industry.Nasikia alitoa wimbo na Davido.
Ni kweli?
hapo sijakuelewa kabisa broo, et "akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (chidi benz)Mimi ni mmoja wa mashabiki wa msanii Joh makini tangu anatoka akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (Chid benz). Mwamba wa kaskazini alitikisa anga la mziki na kila mkwaju alioachia ulikuwa wa Moto ndio maana alipojiita Tz Jay z sikumbishia sana. Nakumbuka ngoma zake kama Mfalme,Hao,muda,sijutii,Stimu zimelipiwa,Show za Joh,Kilimanjaro n.k, collabo alizopiga akangaa kama utaipenda ya Hussein machozi na nyinginezo.
Huyu Joh makini wa Weusi simuelewi kabisa yaan amepwaya katika uandishi kuliko zaman, hatumuoni kama Hip hop icon wa kaskazini yaani anakoelekea haeleweki kabisa.
Chondechonde tunamhitaj Joh Makini wa Hao, huyu wa madaraka,Nicome ndugu zake njooni mumchukue
Weeee who told u?? Wakat Joh anahangaika kuomba a-record Chid Benz alkuwa tayar ana track zake kadhaahapo sijakuelewa kabisa broo, et "akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (chidi benz)
nafaham joh longtime before huyo chid,
[emoji2] [emoji23] [emoji16]