homeless1
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 427
- 950
1.Hakuna beki tatu Tanzania mwenye kuufikia au hata kuukaribia uwezo wa Mohammed Hussein hilo naomba wanasimba wenzangu tulijue.
2. Ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa sana kiasi kwamba tukimpoteza itatubidi twende nje kumtafuta kiasi kwamba tutakua tunaongeza gharama na ubahatishaji usio na maana imagine Zimbwe anaondoka anakuja beki toka nje uwezo anazidiwa na hata Yasin Mustafa
3. Simba tuna wachezaji wa kigeni zaidi ya 10 tena wenye uwezo mkubwa kiasi kwamba tutahitaji kuwabakisha sasa tukishindwa kumuongezea mkataba Zimbwe itatubidi tuongeze rundo la wachezaji toka nje, itafaa nini wakati uwezo wa zimbwe hakuna mwanamichezo asoujua.
4. ukifuatilia jinsi Simba anacheza utagundua kuna mchango mkubwa sana wa Zimbwe yaani mkubwa mno sio kwenye kuzuia, kumiliki, kushambulia au hata kupunguza presha za wachezaji wengine, Zimbwe anatu offer vitu vingi mno.
5. Kawa kwenye kipindi Simba inapitia kipindi kigumu kiuchumi mpaka sasa, kwanin uongozi usimpe offer nzuri kipindi hiki uwezo wa kiuchumi upo.
6. Ni captain msaidizi tena aso na majivuno wala dharau na ana nidhamu ya hali ya juu,wachezaji wengine watauchukuliaje uongozi wa Club kama wakishindwa kumbakisha Zimbwe.
7. Hakuna mchezaji mkubwa kuliko Simba lakin niukweli Zimbwe akiondoka tutayumba na Sisi mashabiki tutawazingua kama mkileta mchezaji ambae hatupi anachotupa Zimbwe.
8. Zimbwe kwa macho ya kawaida hayupo tayari kuondoka Simba lakini anahitaji maslah kwa sababu mpita kwake ni maisha hasa ukizingatia anaona kabisa Uongozi unaweza kufikia mahitaji yake.
9. Mashabiki wa kweli wa Simba hatuyawaelewa Zimbwe akiondoka labda aende Club kubwa kupita Simba.
NB : Malizaneni na Zimbwe tuwe na Amani