Mhe. Rais sisi Wastaafu tunakupongeza sana kwa kuwaongezea watumishi wa umma mishahara yoa ya kila mwezi. Mhe Rais tunakuomba sana na sisi WASTAAFU uone namna ya kutuongezea pensheni yetu sisi Wastaafu wa nchi hii. Tumeitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa. Mhe. Rais kwa niaba ya Wastaafu ninawasilisha.