Tunamuomba rais kushirikiana na kitengo cha hali ya hewa Tanzania ili kupunguza ukali wa jua la Dar

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu habari,

Tunamuomba rais, aweze kushirikiana vyema na kitengo cha hali ya hewa Tanzania, Ili kuweza Kupunguza ukali wa jua la hapa dar. Hapa dar jua ni Kali sana na linachoma angel zote za mwili.

Tutamshukuru rais kama atafanikiwa kupunguza au kuzuia kabisa uwakaji wa jua. Maana wananchi wake tunateseka sana.

Asanteni
 
. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ.


. Alafu pia jua utaona linawaka ukiwa Huna Hela.
 
Tunamshukuru sana Rais SSH kwa kupunguza nguvu ya miali ya jua isituunguze wakazi wa Dar!
 
Stress za kuunguzwa ubongo na jua....
 
Nimejikuta Nikibubujikwa Na Machozi Ya Furaha,,Baada Ya Ombi Hilo Kwa Raisi Wetu Kipenzi Naamini Atalitazama Au Ataagiza Wasaidizi Wake Wazalendo,,Watiifu,, Na Wachapa Kazi Walitazame Hili Na Walifanyie Kazi.
 
Tunamuomba rais, aweze kushirikiana vyema na kitengo cha hali ya hewa Tanzania, Ili kuweza Kupunguza ukali wa jua la hapa dar. Hapa dar jua ni Kali sana na linachoma angel zote za mwili.
๐Ÿ˜€
 
 

Attachments

  • IMG-20241007-WA0000.jpg
    73.3 KB · Views: 10
Duu! Ngoja niondoke zangu mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ