Tunanunua V8 mpya kwa Kodi zetu, ila Engine ya Treni ya iweje inunuliwe mtumba?

Tunanunua V8 mpya kwa Kodi zetu, ila Engine ya Treni ya iweje inunuliwe mtumba?

Mbona gari za misafara ya viongozi mnateta mpya,

Magari ya kuzuia maandamano mapya,

Ila Treni ya SGR mtumba!
 
Duu kumbe ni mtumba😂😂.
Kadogosa na kasimu wa chapwe viboko hadharani majizi haya
 
Back
Top Bottom