Tunao tizama afcon kupitia tbc1

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,796
Reaction score
2,367
Hawa tbc 1 tv huwa wanawatoa wapi watangazi wa hizi mechi mbavu zinaweza vunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu mane wa azam sports hd na mane tbc mbona hawafanani? kwamba huku tbc hakuna kumremba mtu anachukuliwa alivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunavumilia tu kwakuwa ni bure ila kiukweli quality ni mbovu sana TBC
 
πŸ˜…πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜„
 
Hyo ni roho mbaya tbc wanajitahid
Ila ukiona kero nenda supersport
 
wanapata feed moja kutoka caf ambao wanailisha azam na azam ndio wanailisha tbc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie munaangalia tbc ipi? Mbona kwangu mzigo umeng’aa ivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…