Tunao Wadada na Wanawake wengi sana wanaofanana na Aibu ya huyu Dada....

Naona TCRA wapo usingizini

Media uchwara kama hizi, hakukuwa na haja ya kuzipa leseni

NB; Kitendo cha kuvaa chupi moja kutwa nzima kinaashiria uchafu.

Huyo ukimwoa, hastahili kumpeleka uvinza, safari zake ziwe zinaishia hapo Ferry tu 🤪
 
Kwahiyo ukienda job ubebe na chupi nyingine ya kubadilisha?
Kwani huo mkoba wako hauna nafasi mjukuu? Kama hautoshi tukununulie mkubwa 🤪

Tena hapo Kariakoo ukienda kujimwagia Maji mchana, unapata nafasi ya kubadirisha na kufuli kabisa

Ukirudi kuuza vijora, unazidi kuonekana mpya kwa sisi wapita njia 🤭
 
Hiyo kazi sifanyi, yani niache kutafuta wateja nihangaike na kuchange chupi? 😹

Hiyo inatumika kipindi cha period tu..!!
Maana lazima ukachange pedi.
Siku za kawaida haipo hiyo labda kwa wenye utoko mwingi..!
 
Utoko Kuna watu wapo nao kweli?

Itakuwa unaishi mbali na mkwe wewe, Mimi navyopenda kuinusa kabla ya kazi 🏃🏃

Nazimia 🤪
 
Back
Top Bottom