Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Habari wanaJF
Mara kadhaa nimehoji na kuuliza kwanini iwepo kuoa na kuolewa sababu nini hasa, watu wanazingua wanatoa majibu mepesi et oooh hata mimi sijui, iko hivo ni jadi, matakwa ya Mungu, kivipi kwani kila ndoa ni ya Mungu, kwani kila jadi ni nzuri na haipingwi, kwani kutokuoa haiwezi kuwa jadi mpya.
Tukubali kupanga ni kuchagua kama wahenga waliishi kwa jadi zao basi hata kizazi cha sasa tuachwe na jadi mpya.
Kuoa au kuolewa ni mipango binafsi
Mabestie wanateseka et nami nifate upupu, thubutu!!
Ulikuja peke yako utaondoka peke yako.
Mengine tutajadili kikao chetu na Malaika huko Mbinguni.
Tuache kusumbua wengine tuwape nafasi walitumikie Taifa Kwanzaa.