Tunaoa ili Iweje? Soma Ujifunze

Tunaoa ili Iweje? Soma Ujifunze

Mkuu kwa upande wetu wakristo ndoa sio lazima,ila kama hautaweza kujizuia dhidi ya zinaa ni bora uoe ili usitende dhambi,na pia ukiwa kwenye ndoa unanafas ya kupata watoto ila kama mazngira hayatuhusu hata kuwa na watoto sio lazima
Lete maandiko kuthibitisha hiki ulichokiandika!
 
Lete maandiko kuthibitisha hiki ulichokiandika!

1 Wakorintho 7:8-9
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
⁹ Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Ila aya sio maagizo ya Mungu bali yalikuwa ni maoni ya Paulo kwa vijana na wajane wakati ule.
 
Back
Top Bottom