Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

Raha ya pool table usiwe na njaa, afu utembelee pooltable zile zikozoko sehemu zilizotulia, achana na haya mapooltable ya mitaani yaliyojaa wahuni.

Kuna Hotel moja pale mwanza huwa naenda sana kucheza nikiwa free, pale huchezi china ya dau la 20K.Me siuchukulii vibaya mchezo wa pooltable.

Mkuu, tukikutana nikupe maji ya ngapi? [emoji23]
 
Uzi nimechelewa kuona, nauona leo saa hz nikiwa najianda kulala.. Nikipata wasaa nitapita kuchangia, nilikuwa mkamaria...

Alhamdulillah nimefanikiwa kuacha.. Msimu wa mwisho ni ule lucas moura anaingia sub na kufunga dk 59 km sijatoa boko vs man city game inaisha 2-2..

Sio kazi ndogo, nilitamani kuacha misimu kadhaa nyuma nikashindwa, ila nikafanikiwa kuacha, nilianza kubet toka 2011-12 hv. Miaka takribani 9-10 nabeti ti.

Alhamdulillah sasa nimeacha rasmi, mwaka wa pili huu km sikosei.
 
Hongera sana
 
Ya 120 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…