MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Dubwi halifai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha ya pool table usiwe na njaa, afu utembelee pooltable zile zikozoko sehemu zilizotulia, achana na haya mapooltable ya mitaani yaliyojaa wahuni.Uraibu wa pull table unanitesa sana unanimalizia sana pesa mpaka hapa naandika niko kwenye pull.
Kila nikipita popote palipo na pull lazima nipite, najipa matumain kuwa kuna siku nitaacha lakini wap pengne nafrahia coz inanisogeza kuna wkat nakosa mchongo ila nikicheza nakuwa na uhakika wa kula. One day nitaacha.
Ngoja nijaributuanze safari kaka,mm siku ya pili leo,cha kwanza ni kuamini ukweli ya kwamba dubwi halina faida kwa mchezaji bali kwa mmiliki.kama hauamini jumlisha hela unazoliwa linganisha na unazokula.pili kuamua kwa dhati kuacha.tatu kaa mbali na vichocheo,nne tafuta vitu vingine vya kufanya.anza sasa
fanya kweli,mm binadamu kama wewe,nikiweza wewe utashindwaje?
unajifurahisha wakati hela inapotea? Utapataje furaha kwa kitu kinacho kutia hasara na sio faida?Usifanye chanzo cha mapato,cheza kwa kujifurahisha tu.
Umesema kweli, mhindi yeye apate ela alafu wengine wawe wanajifurahisha..unajifurahisha wakati hela inapotea? Utapataje furaha kwa kitu kinacho kutia hasara na sio faida?
Hongera sanaUzi nimechelewa kuona, nauona leo saa hz nikiwa najianda kulala.. Nikipata wasaa nitapita kuchangia, nilikuwa mkamaria...
Alhamdulillah nimefanikiwa kuacha.. Msimu wa mwisho ni ule lucas moura anaingia sub na kufunga dk 59 km sijatoa boko vs man city game inaisha 2-2..
Sio kazi ndogo, nilitamani kuacha misimu kadhaa nyuma nikashindwa, ila nikafanikiwa kuacha, nilianza kubet toka 2011-12 hv. Miaka takribani 9-10 nabeti ti.
Alhamdulillah sasa nimeacha rasmi, mwaka wa pili huu km sikosei.
Karibu sana
Ahsante chiefHongera sana
Ya 120 😀Raha ya pool table usiwe na njaa, afu utembelee pooltable zile zikozoko sehemu zilizotulia, achana na haya mapooltable ya mitaani yaliyojaa wahuni.
Kuna Hotel moja pale mwanza huwa naenda sana kucheza nikiwa free, pale huchezi china ya dau la 20K.Me siuchukulii vibaya mchezo wa pooltable.
Mkuu, tukikutana nikupe maji ya ngapi? [emoji23]