Tunaoamini Azam inashinda leo tukutane hapa

Leo kiukweli yanga tunapigwa hamsa kama mnyama alizowahi kutufunga
 
Tutarudi baada ya mchezo kumalizika. Hakuna sababu ya kuandikia mate na wakati wino upo.

Msema ukweli ni dakika 90.
 
Wamebhatika kutoa Sare... mana leo haikuwa siku yao kabisaaa!
🦁nguvu moya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…