Tunaoamini Azam inashinda leo tukutane hapa

Tunaoamini Azam inashinda leo tukutane hapa

Leo kiukweli yanga tunapigwa hamsa kama mnyama alizowahi kutufunga
 
Leo sioni yanga akitoboa sababu team yangu iko imara mno. Eneo la beki sina mashaka na AMOAH na MALICKOU NDOYE.

Kiungo kocha utachagua tu ISSAH NDALA au JAMES AKAMINKO au Mzawa BAJANA

Winger moja kipre jr + TEPSIE

TUNASHINDA 3 KWA 1

View attachment 2347247
Tutarudi baada ya mchezo kumalizika. Hakuna sababu ya kuandikia mate na wakati wino upo.

Msema ukweli ni dakika 90.
 
Leo sioni yanga akitoboa sababu team yangu iko imara mno. Eneo la beki sina mashaka na AMOAH na MALICKOU NDOYE.

Kiungo kocha utachagua tu ISSAH NDALA au JAMES AKAMINKO au Mzawa BAJANA

Winger moja kipre jr + TEPSIE

TUNASHINDA 3 KWA 1

View attachment 2347247
Wamebhatika kutoa Sare... mana leo haikuwa siku yao kabisaaa!
🦁nguvu moya
 
Back
Top Bottom