Tunaoamini Azam inashinda leo tukutane hapa

Tunaoamini Azam inashinda leo tukutane hapa

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Leo sioni yanga akitoboa sababu team yangu iko imara mno. Eneo la beki sina mashaka na AMOAH na MALICKOU NDOYE.

Kiungo kocha utachagua tu ISSAH NDALA au JAMES AKAMINKO au Mzawa BAJANA

Winger moja kipre jr + TEPSIE

TUNASHINDA 3 KWA 1

e-d41f66ad-16bb-490f-819a-3d239b84cbdd%2Ba.jpg
 
Leo sioni yanga akitoboa sababu team yangu iko imara mno. Eneo la beki sina mashaka na AMOAH na MALICKOU NDOYE.

Kiungo kocha utachagua tu ISSAH NDALA au JAMES AKAMINKO au Mzawa BAJANA

Winger moja kipre jr + TEPSIE

TUNASHINDA 3 KWA 1

View attachment 2347247

Mimi nachojua mpira wa azam na yanga huwa mzuri sana kuuangalia! Mengine hayana maana!
 
Kinacho fanya Azam leo apoteze mabeki wa kati kuwa wazito.japo lolote kwenye mpira linaweza kutokea.
 
Azam hapendeki, bado wabovu wataendelea kupasuka mbaka watakapokua wamekaa sawa.
 
Back
Top Bottom