mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu.
Tubeze lakini tuwe na akiba ya maneno tusije kuaibika mbeleni. Nakumbuka babu aliniambia mpirani ongea mwanzon kidogo na mwisho uongee Sana Ila katikati angalia na furahia kinachoendelea bila kuonyesha hisia zako.