Subiri nikufungulie Uzi wako .Tunaochapika mwaka mzima tunacomment wapi?!
Hakuna siku mnywaji ataacha kunywa hata Kama Hana sent moja mfukon wadau wako weng babu Kuna wale unao wapa offer Sasa Ni zamu yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina hela hata kidogo lakini kila siku nalewa bwiiii.
Hata sijui zinakotoka.
Sijui ni freemason
Tofa
Ila masista kipindi hiki hua wanatuchora sana jinsi mtu unavyoenda na kitambi chako pale halafu unaanza kulia lia.. Wanajua tu hili zembe limenywea bia ada π€£π€£π€£Wengne balaaaa aisee watoto watatu Kila mmoja 2.5m daaadek alafu masista mashulen Wana kaza na huku bia zilikuwa tamu na michepuko juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utasikia bwana yu nawe atakuongoza huku wana kwambia Bado uko chin Sana kwa kiwango chako ulicholeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila masista kipindi hiki hua wanatuchora sana jinsi mtu unavyoenda na kitambi chako pale halafu unaanza kulia lia.. Wanajua tu hili zembe limenywea bia ada [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππππPole mkuu,mimi nimebadilisha muda wangu wa kuonekana nyumbani,kila siku naanza kuonekana kuanzia saa 4 usiku na saa 10 alfajiri naondoka na kisingizio changu ni kuwa kazi zimeongezeka,kwakweli cha moto tunakiona...
Kwnini mkuu! Ninachapika vilivyo mvua hazikati kila kitu kimesimama!manengelo najua wewe mambo kama haya huwezi kuyaelewa.π
Kwnini mkuu! Ninachapika vilivyo mvua hazikati kila kitu kimesimama!
Hahaaaa wewe kuchapika kwako ni tofauti kabisa na huku kwakwetu.. huku hali ni tete lakini ukituona mtaani huwezi amini kama ndio sisi. Halafu mimi nna tabia moja, kipindi nikichapika ndio hua nakua smart sana yaani napiga pamba kali, safi... kiatu safi na tai shingoni ukiniona utadhani mtu.πππ