Tunaochapika Januari baada ya kutapanya Christmas tufarijiane hapa

Yan mm huku japo nipo kijij nachapika mbaya tangu shule zimefungiliwa sina hata mia

Nkirudi job nakaa nyumbani tu kubeba watot na kuwasaidia kufanya home work zao

Ila sometimes wife ananionea mpaka huruma ananitoa buku mbili naenda kula zangu banana kibAbe

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee hakuna kitu naonaga huruma km men achapike mnatiaga huruma😆!yaan dah😊!
 
Hivi hii inakuwaje? yote hayo hamkujua?
Ilipaswa ujiweke tayari.
 
Aisee hakuna kitu naonaga huruma km men achapike mnatiaga huruma[emoji38]!yaan dah[emoji4]!

Ha ha mwanaume akichapika jambo dogo tuu linaweza kuzua balaa zito...ila mipango ndio kila kitu kama unajua una kodi na ada calculate save diferent mfano ada ya mtoto laki 8 kwa term save 7000-9000 kwa siku, kodi hivyo hivyo vitu vitaenda smooth
 
Aisee hakuna kitu naonaga huruma km men achapike mnatiaga huruma😆!yaan dah😊!

Wee yaani acha tuu ndugu yangu. Kwanza kama mimi nikichapikaga nakua na hasira za karibu kitu kidogo tu namaind hatari halafu nakua mpole utafikiri naumwa pia hua nakosa kabisa hamu
 
🤣🤣🤣 ni wanawake wachache wanakuwa na mood km zenu..dah..mie walaa! Amani tu!
 
Ha ha mwanaume akichapika jambo dogo tuu linaweza kuzua balaa zito...ila mipango ndio kila kitu kama unajua una kodi na ada calculate save diferent mfano ada ya mtoto laki 8 kwa term save 7000-9000 kwa siku, kodi hivyo hivyo vitu vitaenda smooth

Hhhaaha mnajijua kumbe...au km unashindwa save daily ww sav kila mwez 50000!km una mtoto mmoja..km wawili tupia laki...inategemeana na shul lakin! Mie naanza tena kusave kutoka jan hii had dec...for ada za watoto! Hatuna jinsi
 
🤣🤣🤣 ni wanawake wachache wanakuwa na mood km zenu..dah..mie walaa! Amani tu!
Unajua ukichapika na huku una matumaini kwamba kuna michongo itatema soon hali yako inakua sio mbaya saana.. balaa unachapika halafu hakuna hata dalili kwamba hela itapatikana lini.. aisee lazima udate
 
Sure...hapo sasa itabidi ukubaliane na wanaojifunza kusave hela zao zikuokoe kipind kigumu! Kuishiwa hela mwanaume ni hatari sana!
 
Ha ha mwanaume akichapika jambo dogo tuu linaweza kuzua balaa zito...ila mipango ndio kila kitu kama unajua una kodi na ada calculate save diferent mfano ada ya mtoto laki 8 kwa term save 7000-9000 kwa siku, kodi hivyo hivyo vitu vitaenda smooth
Tatizo la kusevu bana unaweza kuanza vizuri, hela ikishaongezeka ongezeka utashangaa kunatokea tatizo kubwa sijui linatokea wapi unajikuta unasema ngoja nichomoa hapa ntarudisha.. ndio ntolee. Hizi hela ni mashetani mi nawaambia
 
Write your reply...Mimi nimeamua niwe mwizi na tapeli siwez teseka January hii mpaka sasa nishachapa kuku kazaa za kitaa
 
Tatizo la kusevu bana unaweza kuanza vizuri, hela ikishaongezeka ongezeka utashangaa kunatokea tatizo kubwa sijui linatokea wapi unajikuta unasema ngoja nichomoa hapa ntarudisha.. ndio ntolee. Hizi hela ni mashetani mi nawaambia

Saving inaenda na discipline mzee, kama huna discipline utaunga unga tuu
 
Mimi displin ninayo, sema sasa matatizo sijui hua yanajuaje kwamba sasa ka mfuko kameshatuna yaani yanafanya ziara ya kushtukiza unajikuta umeshakomba ka balansi kote 😀😀
 
Back
Top Bottom