Nw tunachapika woteee😪Hahaaa sindio maana nakuambia we huchapiki? Huwezi kuchapika kama wallet inasoma figures nzuri.
Yan mm huku japo nipo kijij nachapika mbaya tangu shule zimefungiliwa sina hata mia
Nkirudi job nakaa nyumbani tu kubeba watot na kuwasaidia kufanya home work zao
Ila sometimes wife ananionea mpaka huruma ananitoa buku mbili naenda kula zangu banana kibAbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hakuna kitu naonaga huruma km men achapike mnatiaga huruma[emoji38]!yaan dah[emoji4]!
Aisee hakuna kitu naonaga huruma km men achapike mnatiaga huruma😆!yaan dah😊!
🤣🤣🤣 ni wanawake wachache wanakuwa na mood km zenu..dah..mie walaa! Amani tu!Wee yaani acha tuu ndugu yangu. Kwanza kama mimi nikichapikaga nakua na hasira za karibu kitu kidogo tu namaind hatari halafu nakua mpole utafikiri naumwa pia hua nakosa kabisa hamu
Ha ha mwanaume akichapika jambo dogo tuu linaweza kuzua balaa zito...ila mipango ndio kila kitu kama unajua una kodi na ada calculate save diferent mfano ada ya mtoto laki 8 kwa term save 7000-9000 kwa siku, kodi hivyo hivyo vitu vitaenda smooth
Unajua ukichapika na huku una matumaini kwamba kuna michongo itatema soon hali yako inakua sio mbaya saana.. balaa unachapika halafu hakuna hata dalili kwamba hela itapatikana lini.. aisee lazima udate🤣🤣🤣 ni wanawake wachache wanakuwa na mood km zenu..dah..mie walaa! Amani tu!
Unajua ukichapika na huku una matumaini kwamba kuna michongo itatema soon hali yako inakua sio mbaya saana.. balaa unachapika halafu hakuna hata dalili kwamba hela itapatikana lini.. aisee lazima udate
Tatizo la kusevu bana unaweza kuanza vizuri, hela ikishaongezeka ongezeka utashangaa kunatokea tatizo kubwa sijui linatokea wapi unajikuta unasema ngoja nichomoa hapa ntarudisha.. ndio ntolee. Hizi hela ni mashetani mi nawaambiaHa ha mwanaume akichapika jambo dogo tuu linaweza kuzua balaa zito...ila mipango ndio kila kitu kama unajua una kodi na ada calculate save diferent mfano ada ya mtoto laki 8 kwa term save 7000-9000 kwa siku, kodi hivyo hivyo vitu vitaenda smooth
Tatizo la kusevu bana unaweza kuanza vizuri, hela ikishaongezeka ongezeka utashangaa kunatokea tatizo kubwa sijui linatokea wapi unajikuta unasema ngoja nichomoa hapa ntarudisha.. ndio ntolee. Hizi hela ni mashetani mi nawaambia
Mimi displin ninayo, sema sasa matatizo sijui hua yanajuaje kwamba sasa ka mfuko kameshatuna yaani yanafanya ziara ya kushtukiza unajikuta umeshakomba ka balansi kote 😀😀Saving inaenda na discipline mzee, kama huna discipline utaunga unga tuu